Asilimia 51 ndiyo wale mashabiki wanaiongia uwanjani
Unaweza kuona mchango wao
kuna siku nilimsikia anasema hakuna faida yoyote anayoipata kwa team mtibwa sugar zaidi ya kuigaramia tu, kuna ukweli?Bakheresa ni suala la muda tu, waliokaribu nae wanajua. Ni vigumu sana kwa Tanzania uanzishe timu yako nje ya hizi timu za kariakoo na ukaiendesha kibiashara. Muulize Bayser atakwambia siri ni kwanini Mtibwa imedumu mpaka sasa.
kuanzisha team anaweza, kujenga uwanja anaweza piaHuwa namshangaa sana MO jinsi anavyowekeza pesa yake SIMBA, MO angetakiwa asuke timu yake kama Bakressa.
Timu yenye asilimia 100 za umiliki wake, atumie hizo pesa zake ajenge bonge la uwanja, ashushe makocha na wachezaji wa viwango vya kimataifa.
Mashabiki wataongezeka tuu Man city, chelsea hazikuwa na mashabiki wengi hivi kabla hazijanunuliwa.
MO piga simba chini pesa uliyowapa mpaka sasa ifanye sadaka, tengeneza timu yako
Wabongo bana,mtu atoe bilion ishirini,wewe hujatoa kitu ni mjumbe tu,unataka uwe na maamuzi ya management ya mradi?,,yale yale ya bagamoyo port,,,hakuna mwekezaji anaweka bilions halafu asitake zirudi
Kilicho wazi sana kwa sasa watu wanaoleta mtafaruku simba ni wale ambao mirija ya kuitafuna simba imezibwa ndiyo maana wanataka kuharibu mfumo mpya waendelee kula pesa za bure za club.
Wanataka Mo aweke mzigo kwenye hisa zake hizo 49% hizo 51% wameshalipia au wanataka waendelee kumkamua pesa bila wao kutoa hata mia?
By the way simba hivi sasa imeshatoka kwenye mfumo wa uanachama ni watu gani hao ambao wanalalamikia klabu yao ilhali hawajui hata jezi za Simba zinapatikanaje ?
Tuache uswahili, tuache wizi, tutafute vya kwetu siyo kula jasho la watu wengine kwa kisingizio cha kulinda maslahi ya wanachama.
Stand united waligombana kwa pesa za ACACIA leo hii wako daraja la kwanza na waliogombana walishatokomea kusikojulikana.
Mpira wetu unaharibiwa na watu wenye njaa za kishamba sana kama hao wanaochochea mgogoro simba.
Alianzisha African Lyons baadae ikamshindaCha muhimu Mo aanzishe team yake binafsi from the scratch kama alivyofanya mwenzake Bakhresa
Alianza lini kujihusisha na simba ?Alianzisha African Lyons baadae ikamshinda
Kwani simba imeanzishwa mwaka juzi? Kama hpn miaka yote iliwezaje kusajiri na kulipa mishahara? Au huyo mnyaturu alikuwa analipa yeye! Acha kujibu kishabiki tumia akili kidgo mtaniMo naomba ajiuzuru turudi kule tulipotoka!
mishahara inayolipwa kwa wachezaji kwa mwezi mmoja si chini ya million mia mmoja hapo hujajumlisha safari kambi na viposho vya uendeshaji; club kama simba inahitaji si chini ya million 300 kujiendesha yenyewe. Kilomoni na genge lake wakabidhiwe timu tuone
yajayo yanafurahisha
Mbona hayo yote bakhresa kafanya niambie kapata nini? Usimba na uyanga ni kama kabila tunaambukiza mpaka na watoto wetuHuwa namshangaa sana MO jinsi anavyowekeza pesa yake SIMBA, MO angetakiwa asuke timu yake kama Bakressa.
Timu yenye asilimia 100 za umiliki wake, atumie hizo pesa zake ajenge bonge la uwanja, ashushe makocha na wachezaji wa viwango vya kimataifa.
Mashabiki wataongezeka tuu Man city, chelsea hazikuwa na mashabiki wengi hivi kabla hazijanunuliwa.
MO piga simba chini pesa uliyowapa mpaka sasa ifanye sadaka, tengeneza timu yako
Wao ndiyo wenye timu sasa huyo mo ni wakuja tu, hata serikali inalijua hilo ndiyo maana ili ingilia kati. Unadhani yale Maneno alizungumza Rostam yalikuwa ni yake? Alitaka afanye kama mo akastuliwaWana shangaza sana mkuuu.kazi kukodolea macho tuuu hisa za mo, miaka yote wapo na hatukuona chochotee cha maaana.
Nilishangaa kusikia kua hata ule uwanja wa bunju ni msaada toka kwa mkwele .
Izingatiwe kua hata hayo mabadliko ya mfumo wa clab yaliwezekana baada ya wale jamaaa kuwekwa rupango, lasivyo hadi leo ingekua bado ni ngonjeraa tuu.
Timu itaendelea kuwepo; lakini kwa kusua kama ilivyokuwa zamani, rejea uongezi wa kina aveva mpaka rage uko nyuma. Madeni ya simba kudaiwa yalikuwa mengi, mpaka ajibu kwenda yanga alikimbia njaa za simba timu ilikuwa haina kitu, zama za timu kuendeshwa kienyeji zimeshapitwa na wakati ndio mana miaka yote iyo tulikuwa hatufanyi vizuri.Kwani simba imeanzishwa mwaka juzi? Kama hpn miaka yote iliwezaje kusajiri na kulipa mishahara? Au huyo mnyaturu alikuwa analipa yeye! Acha kujibu kishabiki tumia akili kidgo mtani
Mazembe ilikua na fan base kubwa hata kabla ya KatumbiKwanini asiweze wakati pesa anayo mingi. Mmiliki wa TP MAZEMBE amewezaje?
Wakati wote huo Simba ilikua na mafanikio gani? Hujui kuwa mfumo wa kiuchumi umebadilika! Hujui hata mfumo wa uendeshaji vilabu umebadilika?Kwani simba imeanzishwa mwaka juzi? Kama hpn miaka yote iliwezaje kusajiri na kulipa mishahara? Au huyo mnyaturu alikuwa analipa yeye! Acha kujibu kishabiki tumia akili kidgo mtani
Jiandaeni kushuka daraja msimu huu dogo, mwenzio kayoma kashajiunga na timu ya wananchi, unakaribishwa pia.Huu ndio wakati wenu kwenda kuongoza club, na tusipoona mafanikio yoyote hesabuni nyie ni wachawi wa maendeleo!! Hao wajumbe walishafanya kitu ipi toka simba ianze? Mwenye hisa 49 tunaona anachoweka je nyie wenye 51 mmeweka nini? Embu acheni uchawi nyie
Piga "Cross Multiplication" hapo tuone wanatakiwa kuleta ngapi.Hao wajumbe wanalipa mishahara ya wchezaji, tuanzie hapo... Kama mwenye kumiliki hisa 49% anaweka mezani bil 20 hao wanahisa wanaomiliki 51% wameweka ngapi nao mezani?