Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Uganda ni typical banana Republic (Jamuhuri ya ndizi) isiyo na utawala wa Sheria (due process) inayoongozwa na familia moja baba akiwa Rais, mama waziri na mtoto wao mkuu wa majeshi mropokaji hovyo na kujiamulia mambo anavyoona inamfaa.
Namibia ni nchi ya watu milioni 3, demokrasia changa zaidi barani Africa ya utawala wa chama kimoja defacto iliyopata uhuru mwaka 1990 na ambayo haijawahi kupitia changamoto zozote za siasa za ushindani.
Tunahitaji kuwa serious.