Kama kweli hamna Corona kwanini manjishuku? Mbona sikumskia akitaja Tanzania specificallyHata hao kenya ni wa ajabu,moi alipofariki kwa Tanzania walienda marais wawili,leo yeye anatuponda kwanza asubuhi kuhusu covid halafu anatuma mawakilishi
Hahaaa! Mi nilidhani covid iliisha mbona .Mnapatwa na wasiwasi, hata bila ya kutajwaUhuru ni Rais dhaifu sana , kwa nini upoteze muda kuongelea covid-19 ya nchi jirani na wakati na wewe una nchi yako? kusanyiko la leo kwenye kuaga mwili na mapokezi ya lissu ni prove kuwa Tanzania ni safe from corona, shida ya Uhuru nikuta kuionyesha dunia kuwa ana pambana na corona wakati maambukizi yana ongezeka kila leo, hili kitu haliwezi, ata extend restrictions hadi achoke mwenyewe,kwa sasa ni kama ana ona aibu tu kwa measures anazo chukua hazina matokeo.
Yaharibike mara ngapi? We don't need Kenyans here in TZ.Nafikiri kuna jambo linajengeka hapa na litaharibu mahusiano ya nchi hizi mbili.
Viongozi wa upinzani walifika msibani wakati raisi tayari amekwisha ingia, kwa protokali viongozi wote wanaingia kabla ya raisi, rais ndo huwa mtu wa mwisho,baada ya hapo ni lazima utazuiwa. Hawakufuata utaratibu.Dah! Ina maana wamezuia hadi wapinzani.
Baadaye alifika kwa kuchelewa, hii inaeleweka, kwanini mwakilishi wa manyangau abadilishie gia angani?Hata Mwakilishi wa Serikali ya Zimbabwe ameshindwa kufika sababu ya hali ya hewa.
Sema hata nyie Wakenya mnaitetemekea sana korona.
Kwani nia yako ilikuwa ni kutaka Rais wetu aje kuambukizwa kirusi?Alafu kwa dharau wanatutumia senetor
kwani nia yako ilikuwa ni kutaka Rais wetu aje kuambukizwa kirusi?
Hili suala kumbe nilikuwa nakiangalia juu juu!Hata hao kenya ni wa ajabu,moi alipofariki kwa Tanzania walienda marais wawili,leo yeye anatuponda kwanza asubuhi kuhusu covid halafu anatuma mawakilishi
Hili suala kumbe nilikuwa nakiangalia juu juu!
..
Kama ni hivyo hao jamaa ilikuwa halali yao kurudishwa walikotoka.
Hakika Tanzania sasa tunaongozwa na wanaume.
Magufooli ana emotions nyingi na hasira kwa nini?Kwanini mnateseka mtataga sana hatutaki yoyote nyinyi komaeni na maisha yenu.
Vp corona zenu tulizozirudisha zimetua salama?Magufooli ana emotions nyingi na hasira kwa nini?
Hapa umeropokaNi jitu lenye maamuzi ya ajabu ajabu hilo, acha tu tungoje muda wake huishe aondoke, hamna namna, ameharibu ushikamano wa EA sana, historia itamkumbuka kwa hilo. Sijui anajijengea sifa ipi baada ya kustaafu.