Wajumbe walikuwa na sababu gani kumuengua Master Jay?

Atulie tu, sisi ndio wajumbe! Kama tulimkata shekh sharif majini na majini yake, yeye ni nani???







Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Nawazaga huyu mtu tuaambia habari za majini wanavyo weza kutuletea tunayo yataka.najiuliza alishndwa kuyatumia madude yake.
 
Nawazaga huyu mtu tuaambia habari za majini wanavyo weza kutuletea tunayo yataka.najiuliza alishndwa kuyatumia madude yake.

Hapo sasaaa.....!
Akili kumkichwa.




Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Alishindwa kuisimamia Studio yake ataweza kulisimamia Jimbo.Kunyoa nywele ni hiari yake hakuna aliyemlazimisha kuzifuga
 
Walitaka kumuonyesha kwamba siasa sio burudani kama muziki, napia walitaka awe mnafiki na kuacha misimamo yake ya kuwa real (HipHop) ndipo afanikiwe.
 
Kwani kuweka Rasta ni marufuku Tanzani?Kama tukiongelea kuhusu freedom of expression...

tukiongelea demorasy kuweka Rasta ni sawa na urembo wowote ule Kama vile kufuga ndevu sharubu nk..

Kule Kenya Kuna mbunge anavaa mikufu kifua Kisima,kule Uganda Kuna Bob wine anafanya mambo yake ..

Watanzania tutaacha nini kiwa limbukeni na washamba wa mambo?
 

Kusuka rasta sio marufuku mkuu sijui kwanini Master J kanyoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…