Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
[emoji23][emoji23][emoji23]Atulie tu, sisi ndio wajumbe! Kama tulimkata shekh sharif majini na majini yake, yeye ni nani???
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Atulie tu, sisi ndio wajumbe! Kama tulimkata shekh sharif majini na majini yake, yeye ni nani???
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Nawazaga huyu mtu tuaambia habari za majini wanavyo weza kutuletea tunayo yataka.najiuliza alishndwa kuyatumia madude yake.Atulie tu, sisi ndio wajumbe! Kama tulimkata shekh sharif majini na majini yake, yeye ni nani???
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Nawazaga huyu mtu tuaambia habari za majini wanavyo weza kutuletea tunayo yataka.najiuliza alishndwa kuyatumia madude yake.
Kwani kuweka Rasta ni marufuku Tanzani?Kama tukiongelea kuhusu freedom of expression...kumpitisha mgombea kisa amenyoa rasta ni sawa na kumpa mwanafunzi degree kisa amehudhuria lecture.
Yaani mwanafunzi analalamika amepoteza muda mwingi kuhudhuria vipindi ila hawajamtunuku shahada!!! anasahau kama kuna vigezo na masharti.
kunyoa rasta haina nguvu ya kutufanya sisi tusympathize nae.
Hata ilan ya chama hakuisomaHuyu jamaa sijui angekua mbunge wa namna gani huko. Maana sidhani hata alikua anajua anagombea Jimbo gan. Lina mitaa mingapi, priorities za Jimbo kwa 2020-2025.
Kwani kuweka Rasta ni marufuku Tanzani?Kama tukiongelea kuhusu freedom of expression...
tukiongelea demorasy kuweka Rasta ni sawa na urembo wowote ule Kama vile kufuga ndevu sharubu nk..
Kule Kenya Kuna mbunge anavaa mikufu kifua Kisima,kule Uganda Kuna Bob wine anafanya mambo yake ..
Watanzania tutaacha nini kiwa limbukeni na washamba wa mambo?