Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Master J atengenezee beat hili shairiSimu walinipigia,
Sifa zangu kunipatia,
Wakanisihi nitie nia,
Wajumbe sio watu wazuri
Walisema nakubalika,
Nitapita bila shaka,
Kura zao walinipa uhakika,
Wajumbe sio watu wazuri
Mara nyingi tulikutana,
Mipango tuliweka bayana,
Nilipambana usiku na mchana,
Wajumbe sio watu wazuri,
Ukimbini tulipoingia,
Sera kuwamwagia,
Kwa kweli walishangilia,
Wajumbe sio watu wazuri,
Kura zikawekwa mezani,
Kila mtu na yake mkononi,
Walichonifanya wajumbe sikuamini,
Wajumbe sio watu wazuri
Sikupata hata kura moja,
Hata ya wale tuliokuwa pamoja,
Ningejinyonga ningekuwa kihoja,
Wajumbe sio watu wazuri
Wajumbe hawapangiwiNi takribani wiki na ushee sasa Master Jay kakaa kimya sana na page zake za mitandao ya kijamii zipo kimya zaidi ya wiki.
Master Jay ni msomi mwenye degree ya Uingereza katika fani ya uhandisi na aliwahi kufanya kazi kama engineer kwenye kampuni ya Mobitel (kwa sasa Tigo) ila aliiacha kazi hio yenye mshahara si haba ili aje kuinua sanaa ya Bongo Fleva lakini uzalendo wake nahisi wajumbe wameupuuza kitu ambacho si kizuri.
Pia alijiandaa mapema sana katika ishu ya kutia nia ya kuwa mbunge kwa kunyoa rasta zake.
]
View attachment 1516716
Una umri gani mkuu?Mi sijui nakaa Tz gani yaani sijui watu wengi.
Kila nikifungua hili jukwaa nakutana na mitu mipya.
Najua wasafi tu.
17Una umri gani mkuu?
Ndio maana basi
Hii message Imfikie jamaaa yule anayehutubia kupitia face book na bingwa wa kulopoka eti naye anautaka urais wa jmtWasanii wakiona followers wengi fb na insta wanadhani ndo wapiga kura,kumbe wajumbe hawana hata smartphone,followers wakikuambia gombea unavimba kichwa unadhani unakubalika
Alipata moja tuHivi master J alipata kura ngapi?
Kama alipata zaidi ya kura kumi, basi nashauri apitishwe tu kuwa mgombea.
Mimi naamini kwa hawa wadangaji wa kisiasa, hawawezi kuambulia zaidi ya kura kumi.
Jamani wajumbe siyo watuNi takribani wiki na ushee sasa Master Jay kakaa kimya sana na page zake za mitandao ya kijamii zipo kimya zaidi ya wiki.
Master Jay ni msomi mwenye degree ya Uingereza katika fani ya uhandisi na aliwahi kufanya kazi kama engineer kwenye kampuni ya Mobitel (kwa sasa Tigo) ila aliiacha kazi hio yenye mshahara si haba ili aje kuinua sanaa ya Bongo Fleva lakini uzalendo wake nahisi wajumbe wameupuuza kitu ambacho si kizuri.
Pia alijiandaa mapema sana katika ishu ya kutia nia ya kuwa mbunge kwa kunyoa rasta zake.
]
View attachment 1516716
Atulie tu, sisi ndio wajumbe! Kama tulimkata shekh sharif majini na majini yake, yeye ni nani???
Let's meet at the top, cheers 🥂
Hawafaii kabisa.....🤣wajumbe sio watu wazur