Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 909
- 1,101
Yaani hawa jamaa na kwa mapendekezo haya sijui vp....hiiiiiiiiiii. Watu wenyewe si mlishindwa(mlikataliwa kuchaguliwa na wanachama wa chama chenu, sasa mnataka eti mmletwe kuongoza wananchi walio wengi tena??? Tuna safari ndefu aisee...Kaazi kwelikweli.
Kwa hiyo mnataka mteuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya ili mkakitumikie chama!! Kweli kuna ulazima wa kuidai Katiba Mpya.