Wajumbe waliogombea NEC Taifa mwaka 2017 wateuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya

WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025.

WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na makatibu tawala wa wilaya na mikoa mbalimbali nchini.

Ni kundi nzuri lililopo ndani ya CCM ambalo limesahaulika na likitumikia , litafaniikishwa kuisimamia ilani ya CCM na hatimaye uchaguzi mkuu 2025.

Ninashauri wafanyiwe vetting na watagutwe popote walipo.
 
Utakuwa mgogo wewe sio kwa akili hii.
Hii ni awamu ya sita mrembo
 
Yaani hawa jamaa na kwa mapendekezo haya sijui vp....hiiiiiiiiiii. Watu wenyewe si mlishindwa(mlikataliwa kuchaguliwa na wanachama wa chama chenu, sasa mnataka eti mmletwe kuongoza wananchi walio wengi tena??? Tuna safari ndefu aisee...Kaazi kwelikweli.
Kwa ushauri wangu, wanaostahili kuteuliwa ni wale wenye CV zilizoshiba ambao waligombea ubunge katika majimbo lakini kura zilikua kidogo. Ninasema hivyo kwa sababu kuna uhusiano mkubwa kati ya kura nyingi na rushwa.
 
Issue sio kujiendeleza Bali ni kulitumikia chama,ukiwa na vigezo na viwango. Sio sawa na chadema ambao haina uelekeo
Kwann wachaguliwe kuwa ma DC ? Wakati UDC ni kazi ya serikali na sio chama , wapewe kazi ya chama na si serikali
 
Kwa ushauri wangu, wanaostahili kuteuliwa ni wale wenye CV zilizoshiba ambao waligombea ubunge katika majimbo lakini kura zilikua kidogo. Ninasema hivyo kwa sababu kuna uhusiano mkubwa kati ya kura nyingi na rushwa.
Walifanyiwa vetting,au walitokea jalalani
 
WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025.

WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na makatibu tawala wa wilaya na mikoa mbalimbali nchini.

Ni kundi nzuri lililopo ndani ya CCM ambalo limesahaulika na likitumikia , litafaniikishwa kuisimamia ilani ya CCM na hatimaye uchaguzi mkuu 2025.

Ninashauri wafanyiwe vetting na watagutwe popote walipo.
Unajipigia debe uteuliwe? Tulia kugombea NEC sio kigezo cha kuwa kiongozi kwanza nyie ndio mnaongoza kuzalisha wezi na mafisadi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom