Wajumbe waliogombea NEC Taifa mwaka 2017 wateuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya

Yaani hawa jamaa na kwa mapendekezo haya sijui vp....hiiiiiiiiiii. Watu wenyewe si mlishindwa(mlikataliwa kuchaguliwa na wanachama wa chama chenu, sasa mnataka eti mmletwe kuongoza wananchi walio wengi tena??? Tuna safari ndefu aisee...Kaazi kwelikweli.
Kwa hiyo mnataka mteuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya ili mkakitumikie chama!! Kweli kuna ulazima wa kuidai Katiba Mpya.
 
Wewe ni mmoja wao sawa sawa ila sio rahisi kama unavyofikiria. Vumilia Chakarika
 
Kajiajiri we mjinga, siasa chafu hazilipi, kama ulikuwa unafanya udhalimu kipindi cha jiwe ukitarajia kupewa cheo, basi umeukalia ukuni.
 
Kwa hiyo mnataka mteuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya ili mkakitumikie chama!! Kweli kuna ulazima wa kuidai Katiba Mpya.
"Katiba mpya mtasubiri sana" iliyopo inahitaji Karne moja iko mpate katiba mpya.
Kajiajiri we mjinga, siasa chafu hazilipi, kama ulikuwa unafanya udhalimu kipindi cha jiwe ukitarajia kupewa cheo, basi umeukalia ukuni.
Kujiajiri unadhani ni mdomo useme kila mtu anao?
 
Issue sio kujiendeleza Bali ni kulitumikia chama,ukiwa na vigezo na viwango. Sio sawa na chadema ambao haina uelekeo
Kwa nini msiteuliwe huko kwenye chama chenu, nyie wasaka tonge safari hii mtakufa na njaa
 
Ukweli mchungu mpaka sasa ni CCM pekee iliyoongoza na inayoongoza nchi mpaka 2025.
 
Waliofika Tano bora kwenye kinyang'anyiro cha ubunge walikuwa wote hawana sifa kwa sababu zifuatazo:-
1. Walitumia rushwa
2. Hawakuwahi kufanyiwa vetting
3. Wengi hawakuwa na sifa za kutosha walichangia chama kununua fomu kuwezesha zoezi la uchaguzi
Ni kweli Wajumbe waliingiwa na pepo wa tamaa na kutanguliza maslahi yao.Basi wapitie tuu wale walioonyesha nia.humo kuna materials ya kutosha.Ila sikubaliani na hao wa 2017. Hizo ni outdated mindset full stop
 
Ni kweli Wajumbe waliingiwa na wa tamaa na kutanguliza maslahi yao.Basi wapitie tuu wale walioonyesha nia.humo kuna materials ya kutosha.Ila sikubaliani na hao wa 2017. Hizo ni outdated mindset full stop
Kila aliyetia Nia akitoa rushwa. List ya mwaka 2017 ukiona kuna hazina kubwa sana kukusaidia chama na serikali
 
Hili suala la kipolitisize public service na likome sheria ya utumishi wa umma na kanuni zake zinaelekeza ni watu gani wanatakiwa wateuliwe kuwa ma DED na MADas
Labda wateuliwe kuwa ma dc
Jiwe aliharibu Sana utumishi wa umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…