Wajumbe waliogombea NEC Taifa mwaka 2017 wateuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya

Issue sio kujiendeleza Bali ni kulitumikia chama,ukiwa na vigezo na viwango. Sio sawa na chadema ambao haina uelekeo
Sasa si niendelee kukitumikia Chama, Nani aliwaambia utumishi wa umma inahitaji kuogozws na makada wa vyama vya siasa
 
Utakuwa mgogo wewe sio kwa akili hii.
Hii ni awamu ya sita mrembo
 
Kwa ushauri wangu, wanaostahili kuteuliwa ni wale wenye CV zilizoshiba ambao waligombea ubunge katika majimbo lakini kura zilikua kidogo. Ninasema hivyo kwa sababu kuna uhusiano mkubwa kati ya kura nyingi na rushwa.
 
Issue sio kujiendeleza Bali ni kulitumikia chama,ukiwa na vigezo na viwango. Sio sawa na chadema ambao haina uelekeo
Kwann wachaguliwe kuwa ma DC ? Wakati UDC ni kazi ya serikali na sio chama , wapewe kazi ya chama na si serikali
 
Kwa ushauri wangu, wanaostahili kuteuliwa ni wale wenye CV zilizoshiba ambao waligombea ubunge katika majimbo lakini kura zilikua kidogo. Ninasema hivyo kwa sababu kuna uhusiano mkubwa kati ya kura nyingi na rushwa.
Walifanyiwa vetting,au walitokea jalalani
 
Unajipigia debe uteuliwe? Tulia kugombea NEC sio kigezo cha kuwa kiongozi kwanza nyie ndio mnaongoza kuzalisha wezi na mafisadi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…