Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kuota ndoto mchana rukhsaHuna lolote wewe , hivi ulijua Lissu anaweza kutishwa na vikelele vyako vya kizushi ? Never Ever ! Lissu siyo wa hivyo na nakuhakikishia Lissu anamuondoa Magufuli madarakani
Naibu spika mstaafuKumsugua nani?
Nimemdharau kabisaMmoja wao yupo humu anaitwa@Pascal Mayalla. Aliandika na uzi kabisa.
Wanatafakari,Sasa ukweli waliokuwa wakiukataa.wameanza kuona jinsi maji yalivyowafika shingoni.Ndugu zangu, hakika chama chetu kikongwe kimejaa propaganda za maji taka, makada walijitokeza na propaganda kuwa Lissu hawezi kurudi Tanzania,Lissu aliwathibitishia watanzania kuwa angerudi tu, wakabadili gia kuwa akirudi atakamatwa airport, Jamaa akarudi tena kwa kishindo wakashindwa kumkamata airport.
Wakasema Chadema haiwezi kumpa nafasi ya kugombea Urais maana Mbowe na Lema hawamtaki wanamtaka Lazaro, Chadema ikampa kugombea tena kwa kura nyingi sana. Wakasema tume lazima itamwengua maana ana kesi kwahiyo hatatoboa, akateuliwa kugombea.
Wakasema hana pesa za kufanya kampeni hawezi kuzunguka nchi nzima, leo yupo anazunguka kila kona tena kwa speed ya 5GB. Wakasema hata pata watu kwenye mikutano yake, sasa ni mafuriko.
Mgombea wao akawaambia wafuasi wake kwamba picha za mikutano ya Lissu ni za ku edit, wamegundua kuwa mgombea wao hakuwa sahihi wamekuja na propaganda mpya kuwa watu wanaojaa kwenye mikutano ya Lissu siyo wapiga kura kwa kuwa hawajajiandikisha ila wanafunzi na wale wanaojaa kwenye fiesta ndio wapiga kura. Hakika wajumbe wamezidi kuyeyuka na propaganda za maji taka. Mwaka huu kazi mnayo wajumbe,a.k.a makada a.k.a uvccm walioagizwa kujibu hoja.
Anasema kuna mgombea amemuomba Sugu akamsugue.Kwani sugu ana semaje
SUBIRI KIDOGO
Pamoja ya kwamba tunatofautiana kimtazamo now days but hili bandiko lako limenifurahisha japo sijalisoma Bado.Jee unajua Lissu ilikuwa asirudi nchini hadi ahakikishiwe usalama wake?. Hakuhakikishiwa huo usalama!. Jee unajua ni nani alimshauri Lissu arejee tuu hivyo hivyo hata bila kuhakikishiwa usalama?.
Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
P
Alipata kura moja, ninahisi ilikuwa ya mke wake.Nakala imfikie Pascal Mayalla , Mtia nia aliyepigwa spana na wajumbe na kuishia kuambulia sifuri yenye masikio , huyu alikuwa kinara wa kumtisha Lissu
Maandiko matakatifu yameweka wazi nafasi ya wanafiki , ni lazima waumbuke tuAlipata kura moja, Nina hizi ilikuwa ya mke wake.
Jee unamjua ni nani alimshauri Lissu agombee urais?.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
P
Huna lolote wewe , hivi ulijua Lissu anaweza kutishwa na vikelele vyako vya kizushi ? Never Ever ! Lissu siyo wa hivyo na nakuhakikishia Lissu anamuondoa Magufuli madarakani
Kwenda zako huna lolote mnafiki tuJee unajua Lissu ilikuwa asirudi nchini hadi ahakikishiwe usalama wake?. Hakuhakikishiwa huo usalama!. Jee unajua ni nani alimshauri Lissu arejee tuu hivyo hivyo hata bila kuhakikishiwa usalama?.
Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
P
KaweNikwende huko wapi?.
P
Jee unajua Lissu ilikuwa asirudi nchini hadi ahakikishiwe usalama wake?. Hakuhakikishiwa huo usalama!. Jee unajua ni nani alimshauri Lissu arejee tuu hivyo hivyo hata bila kuhakikishiwa usalama?.
Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
P
Subiri uchaguzi upite na Lisu apigwe chini uone kivumbi hapo chadema
Mkuu hahahaaaKuota ndoto mchana rukhsa
P