Wajuvi: Ipi logic ya msiba wa Hayati Arap Moi huko Kenya kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?

Ni utaratibuwa mila na desturi za kwao walizojiwekea tu, haina shida.
 
Wakenya leo wameanza siku tatu za kutoa heshima za mwisho kwa mwendazake Moi aliyewahi kuwa Rais wao.

Utaratibu wanaotumia Kenya umenishangaza, yaani mwendazake Moi amelazwa juu ya meza bungeni wala hayuko kwenye coffin......kwa kifupi ni kwamba sijauelewa kabisa utaratibu huu wa kutoa heshima.

Tukio liko live Citizen tv.

RIP mzee Moi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…