Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nadhani atakuwa aliacha wosia aagwe namna hii.Nimeona picha za zoezi zima la kuagwa kwa mwili wa aliekuwa rais wa kenya Moi,
Ameagwa bila kuwekwa kwa jeneza,
...
Mimi nimeshangaa au ni taratibu za kenya, au za rais, au mwenye kufahamu anijuze!View attachment 1350849View attachment 1350850
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise labda kama hio corp wameitreat isitoe smell
Mila za kikafiri tabu sana,naona wamemuwekea na kigodoro cha Dodoma wanaona safi kabisa.Je; Ni mila na desturi au ni Itifaki Au ni WOSIA wake uliopelekea Moi kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?View attachment 1350704
Nasikia huyo mzee aliwatesa sana wakenya aliokuwa wakimpingaWakenya leo wameanza siku tatu za kutoa heshima za mwisho kwa mwendazake Moi aliyewahi kuwa Rais wao.
Utaratibu wanaotumia Kenya umenishangaza, yaani mwendazake Moi amelazwa juu ya meza bungeni wala hayuko kwenye coffin......kwa kifupi ni kwamba sijauelewa kabisa utaratibu huu wa kutoa heshima.
Tukio liko live Citizen tv.
RIP mzee Moi
Nasikia huyo mzee aliwatesa sana wakenya aliokuwa wakimpinga