Wajuvi: Ipi logic ya msiba wa Hayati Arap Moi huko Kenya kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?

Wajuvi: Ipi logic ya msiba wa Hayati Arap Moi huko Kenya kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?

Je; Ni mila na desturi au ni Itifaki Au ni WOSIA wake uliopelekea Moi kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?View attachment 1350704
Capitalist country trying to imitate communist tradition!

Screen-Shot-2018-03-08-at-6.46.09-AM-e1520509635693-998x638.png

BIO-MAO-ZEDONG-REMAINS-007.jpg

article-2076472-0F3C6A4F00000578-322_634x359.jpg
 
Alipofariki Pope John Paul II, pia aliagwa kwa namna hii.
hata wafalme pia huagwa hivyo! Ila ni kuiga tu maana it sounds too unafrican! Kuhusu Pope Roman traditions huitaji hivyo akiwa na fimbo!

Angalia Mandela

article-2522552-1A0E606F00000578-855_636x382.jpg
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mila za kikafiri tabu sana,naona wamemuwekea na kigodoro cha Dodoma wanaona safi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa brainwashed vibaya sana.What difference does it make?Jamaa alishakufa hapo ni li mwili tu hakuna kingine.Kipi bora,kumlaza hivyo au kumkamua mavi?Miili ya waafrika wote kabla ya ukoloni ililazwa hivyo na kufunikwa kwa ngozi ya mnyama anayrchinjwa siku ya mazishi.Punguza mihemko ukidhani taratibu za kutreat mwili za kiarabu ni bora kuliko hao waliomlaza hapo mzee Moi.
 
hata wafalme pia huagwa hivyo! Ila ni kuiga tu maana it sounds too unafrican! Kuhusu Pope Roman traditions huitaji hivyo akiwa na fimbo!

Angalia Mandela

article-2522552-1A0E606F00000578-855_636x382.jpg
Wewe huongea Kama mtu ambaye Hana akili vile. Hivi kuweka maiti kwa jeneza na kutoiweka kwa jeneza ni lipi lisilo African? Hivi mababu zako waliwekwa kwa jeneza?
 
Wewe huongea Kama mtu ambaye Hana akili vile. Hivi kuweka maiti kwa jeneza na kutoiweka kwa jeneza ni lipi lisilo African? Hivi mababu zako waliwekwa kwa jeneza?
walitumia mkeka au ngozi ya mnyama!
 
Bila shaka ni MILA na DESTURI za majirani zetu.. polen sana kwa msiba wa mzee Moi ..ni moja kati ya kiongozi toka KE ambaye alikuwa ana kiswahili kizuri sanaaaa
 
Back
Top Bottom