Wajuvi: Ipi logic ya msiba wa Hayati Arap Moi huko Kenya kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?

Nimeona picha za zoezi zima la kuagwa kwa mwili wa aliekuwa rais wa kenya Moi,
Ameagwa bila kuwekwa kwa jeneza,
...
Mimi nimeshangaa au ni taratibu za kenya, au za rais, au mwenye kufahamu anijuze!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Nchi Na Vyote Viujazavyo Ulimwengu Ni Mali Ya Bwana
 
Wale wahenga wenzangu na tuliowahi pata historia za kuhifadhi miili zamani, kulikuwa hakuna mambo ya kufunika mtu sandukuni.

Hata Mzee Jomo Kenyatta alihifadhiwa, sijui kama bado huo mwili upo makumbusho hadi leo au ulizikwa.

Pengine na Mzee Moi, wanataka kumhifadhi makumbushoni.

Mshana Jr njoo huko saidia maelezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatoka hapo anaenda kuchomwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
MK254 njoo utupatie maelezo ya huo uagaji


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
MK254 njoo utupatie maelezo ya huo uagaji


Sent from my iPhone using JamiiForums

Duh! Hata mimi hapa mtazamaji tu, wanajua wenyewe, au tumuite yule Mtanzania mtaalam wa haya madubwasha aje atolee taarifa...njoo huku Mshana Jr watu wanahitaji majibu ya haya mambo.
 
MK254 tulijua labda ndio mila na desturi yenu kwenye kuaga viongozi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nasikia huyo mzee aliwatesa sana wakenya aliokuwa wakimpinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…