Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
walitumia mkeka au ngozi ya mnyama!
Mzee it's called WAKE, a social gathering associated with death, usually held before a funeral. Traditionally, a wake takes place in the house of the deceased with the body present; however, modern wakes are often performed at a funeral home or another convenient location.Capitalist country trying to imitate communist tradition!
Kwa hivo unapowabeza Wakenya hawako unafrican mbona hapo bongo mnatumia jeneza lililoletwa na mzungu?walitumia mkeka au ngozi ya mnyama!
Mzee it's called WAKE, a social gathering associated with death, usually held before a funeral. Traditionally, a wake takes place in the house of the deceased with the body present; however, modern wakes are often performed at a funeral home or another convenient location.
Has nothing to do with Capitalism or Communism. You remember a similar one was held by the Vatican for Pope John II? View attachment 1351729
Muache ujinga wa kuigaiga! Kiafrika marehemu hufunikwa!Kwa hivo unapowabeza Wakenya hawako unafrican mbona hapo bongo mnatumia jeneza lililoletwa na mzungu?
Je; Ni mila na desturi au ni Itifaki Au ni WOSIA wake uliopelekea Moi kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?View attachment 1350704
Kwa jeneza lililoletwa na Mzungu? Sio?Muache ujinga wa kuigaiga! Kiafrika marehemu hufunikwa!
Taratibu tutamfunza tu. Don't give up on him.Geza gets a concussion Everytime a Kenyan does something.
hamna ngozi au mkeka? Sasa mnafanana na Wakomunisti!Kwa jeneza lililoletwa na Mzungu? Sio?
Acha ujinga mkuu.Unajua maana ya LYING IN STATE ?
Waeast afrika tulichagua ya coffin, hii iko scary kwetu maana hata wakenya wengi nao wameshangaa...Kwa mnaohoji kuhusu hiki kitu, hili hapa jibu lake
EXPLAINER: What it means to lie-in-state
The only people who are entitled to a state funeral are allowed to lie in state.www.the-star.co.ke
hamna ngozi au mkeka? Sasa mnafanana na Wakomunisti!
Waeast afrika tulichagua ya coffin, hii iko scary kwetu maana hata wakenya wengi nao wameshangaa...
View attachment 1351776zee I know you love trolling. Huyu hapa ni Mzee Nyerere (RIP) unauona mkeka au ngozi?
Hahaa... Si unafahamu heri kuishi na mchawi kuliko mnafiki? Ukimpa dozi la kweli atapotea.Hehehe!! Hivi hizi resources huwa umezitunza wapi, napenda unavyowaumbua hawa jamaa na unafiki wao wa kujiona bora kuliko kila mtu Afrika ilhali tunaowafahamu tunawajua walivyo uchi.
hii MWENDAZAKE umeichukua hapo juu kidogo?Kwani Wewe Kinachokushangaza Ni Nini? Yule Kwa Sasa Ni MWENDAZAKE