Wajuvi njooni mnijuze, "Mungu aliumba dhambi lini?"

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
7,900
Reaction score
18,457
Nimeona hii picha FB ya huyu jamaa ambaye "simjui" ila amenifikirisha mengi ....

FB_IMG_1771989367885.jpg

Twende taratibu .....
Naomba nitoe hoja kwa njia ya maswali kama ifuatavyo?

1. Kama shetani ndio baba wa dhambi, dhambi alizotenda yeye za kuasi mbinguni zilitoka wapi??

2. Kama kila dhambi huwa tunapata ushawishi wa shetani, nani alimshawishi shetani kutenda dhambi ya uasi??

3. Shetani na "supporter" wake walitaka kutenda uasi wa mapinduzi, sasa hiyo akili ya uasi nani aliingiza kwenye fikra zao ikiwa wakati huo hakuna nyoka mtenda dhambi (influencer wa dhambi)?

4. Kwenye mafundisho ya Kipaimara niliambiwa "shetani kazi yake ni kukusanya/kushawishi watu atakaoenda nao motoni..""
Sasa ni nani alimshawishi shetani atende dhambi ili aende nae motoni?

Tafadhali naomba nisipate yale majibu ya kutishana.

Hebu nielezeeni ki-layman language na mimi nielewe..!!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nimeona hii picha FB ya huyu jamaa ambaye "simjui" ila amenifikirisha mengi ....

View attachment 3548342

3. Shetani na "supporter" wake walitaka kutenda uasi wa mapinduzi, sasa hiyo akili ya uasi nani aliingiza kwenye fikra zao ikiwa wakati huo hakuna nyoka mtenda dhambi?

4. Kwenye mafundisho ya Kipaimara niliambiwa "shetani kazi yake ni kukusanya/kushawishi watu atakaoenda nao motoni..""
Sasa ni nani alimshawishi shetani atende dhambi ili aende nae motoni?

Tafadhali naomba nisipate yale majibu ya kutishana.

Hebu nielezeeni ki-layman language na mimi nielewe..!!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Baba literally means SOURCE
 
Ezekiel 28 : 14 Wewe (shetani ) ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta afunikaye; nami nalikuweka hata ukawa juu ya mlima mtakatifu wa Mungu, umetembea huko na huko kati ya mawe ya moto.

15 Ulikuwa mkamilifu katika njia zako tangu siku ile ulipoumbwa, hata uovu ulipoonekana ndani yako.
 
1) Dhambi ni kwenda kinyume na MUNGU.

"Kila mtu atendaye dhambi anavunja sheria ya Mungu, maana dhambi ni uvunjaji wa sheria."
1Yohana.3.4.BHN

2) Aliweza kwenda kinyume / kutenda dhambi kwasababu ana FREE WILL.

3) MUNGU anataka wale tu ambao na wao wanamtaka kwa hiari, hataki marobot.

4) Kabla hata ya kuanza kuumba, MUNGU alijua kuna viumbe wangeenda kinyume kwa hiari.

Kama mwenye Enzi Kuu, maamuzi yake ya mwisho ni kuwaondoa, they'll go back to nothing .

Kama una nyumba yako watu hawataki kufuata sheria zao si wakatafute pa kuishi! ! !

5) Yooote yanayotokea duniani ni kwa ajili ya wateule: tuko kwenye process ya kujifunza mema na mabaya. Tuko kwenye process ya kuonyesha Allegiance / Ushkamanifu wetu MUNGU wetu na sheria zake kwa hiari.

We LOVE our GOD and his laws.

Muovu akiona mtu anauawa anasema MUNGU mbaya kaacha auawe.

Wateule wakiona mtu anauawa wanasema MUNGU ni mwema, kwasababu amekataza kuua.

Mfano mmoja tu.

"Kabla ya kuumbwa ulimwengu, Mungu alituteua tuwe wake katika kuungana na Kristo ili tuwe watakatifu na bila hitilafu mbele yake. Kwa sababu ya upendo wake,

Mungu alikuwa ameazimia tangu zamani kutuleta kwake kama watoto wake kwa njia ya Yesu Kristo. Ndivyo alivyopenda na kunuia."

Waefeso.1.4-5.BHN
 
Enh ILI jibu linaonekana jepesi Kwa akina Kiranga na Scars wao wanataka mema TU mambo ya mabaya hahaha the nature of God according to Christianity ni free will.

Sasa HUWEZI force God to behave the same as you want huyo anakuwa sio MUNGU Bali ni kama jamaa YAKO WA utotoni mnabishana naye
 
Hawataki uwajibikaji.

Wataangalia kila mahali kutafuta makosa, watatafuta kila wa kumpa lawama, hawatojiangalia wenyewe kamwe!

Utoto, Upumbavu pro max.

Eti kwanini free will I affect mtu mwingine! Mtu huyo huyo anasema Mungu hana upendo! Huo Upendo unajua maana yake nini? Kama unajua Upendo ni nini huwezi kuuliza kwanini Free Will ina affect watu wengine!
 
Hapana Mungu hakuwahi kuumba dhambi

Hii itamaanisha kuna kiumbe kingine ambacho ni powerful kumzidi Mungu kinachoweza kuingilia kazi ya uumbaji wake kwa kupandikiza mambo asiyoyataka huku Mungu akiwa hana uwezo waku-undo kurekebisha mambo yaende vile anavyotaka.

Kwasababu kama utakubali kuwa dhambi haikuwa mpango wa Mungu tutaanza ku question sifa kuu za Mungu (uwezo wote, mwenye kujua yote, muumba wa vyote, mwenye upendo wote nk)

Kwa hiyo kama kuna kitu kimetokea na yeye anadai hahusiki nacho basi huyu atakuwa sio mjuzi wa yote kwasababu alitakiwa awe amejua kabla hajaumba chochote kuwa kuna jambo litafanyika ambalo sipendezewi nalo na aweke solution ya kulizuia lisije kufanyika.

Lakini kwasababu jambo limefanyika, hapo kunakuwa na majibu mawili.

Ni either ameruhusu hilo jambo lifanyike kwasababu yeye ndie mwenye uwezo wote na ujuzi wote (kitu ambacho kinamuweka kwenye hatia ya kuhusika kuumba dhambi )

Au akane aseme hajahusika kuumba dhambi (kitu ambacho kinaonyesha mashaka kwenye dhana yake ya uwezo wote na ujuzi wote kwasababu tunaona some things are getting outta his hands)
 
Hawataki uwajibikaji.

Wataangalia kila mahali kutafuta makosa, watatafuta kila wa kumpa lawama, hawatojiangalia wenyewe kamwe!

Utoto, Upumbavu pro max.

Eti kwanini free will I affect mtu mwingine! Mtu huyo huyo anasema Mungu hana upendo! Huo Upendo unajua maana yake nini? Kama unajua Upendo ni nini huwezi kuuliza kwanini Free Will ina affect watu wengine!
Makosa yanaweza kuwa sio option sahihi ya kufanya judgment kulingana na muktadha unaojadiliwa.

Lakini kubainisha makosa kwenye dhana inayohusu Mungu ambayo mnadai ni perfect hiana makosa wala madhaifu.

Sio tu tatizo linaloweza kuonyesha mapungufu katika dhana nzima bali ni tatizo linaloonyesha kuwa huyo Mungu hayupo.

Kwa hiyo usitulaumu sisi kwa kutafuta makosa (ambayo kweli yapo na yanaonekana), laumu kwanini utumike wewe (kiumbe dhaifu) kumtetea Mungu (mwenye uwezo wote/mkamilifu) kuwa hayo sio makosa badala ya Mungu ajitetee mwenyewe?
 
Nimeona hii picha FB ya huyu jamaa ambaye "simjui" ila amenifikirisha mengi ....

View attachment 3548342

Twende taratibu .....
Naomba nitoe hoja kwa njia ya maswali kama ifuatavyo?

1. Kama shetani ndio baba wa dhambi, dhambi alizotenda yeye za kuasi mbinguni zilitoka wapi??

2. Kama kila dhambi huwa tunapata ushawishi wa shetani, nani alimshawishi shetani kutenda dhambi ya uasi??

3. Shetani na "supporter" wake walitaka kutenda uasi wa mapinduzi, sasa hiyo akili ya uasi nani aliingiza kwenye fikra zao ikiwa wakati huo hakuna nyoka mtenda dhambi (influencer wa dhambi)?

4. Kwenye mafundisho ya Kipaimara niliambiwa "shetani kazi yake ni kukusanya/kushawishi watu atakaoenda nao motoni..""
Sasa ni nani alimshawishi shetani atende dhambi ili aende nae motoni?

Tafadhali naomba nisipate yale majibu ya kutishana.

Hebu nielezeeni ki-layman language na mimi nielewe..!!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Dhambi ni kujua mema na mabaya kisha ukatenda mabaya ..ukiwa umezaliwa kichaa hata utukane au usex au uue hakuna dhambi
 
1) Dhambi ni kwenda kinyume na MUNGU.

"Kila mtu atendaye dhambi anavunja sheria ya Mungu, maana dhambi ni uvunjaji wa sheria."
1Yohana.3.4.BHN

2) Aliweza kwenda kinyume / kutenda dhambi kwasababu ana FREE WILL.

3) MUNGU anataka wale tu ambao na wao wanamtaka kwa hiari, hataki marobot.

4) Kabla hata ya kuanza kuumba, MUNGU alijua kuna viumbe wangeenda kinyume kwa hiari.

Kama mwenye Enzi Kuu, maamuzi yake ya mwisho ni kuwaondoa, they'll go back to nothing .

Kama una nyumba yako watu hawataki kufuata sheria zao si wakatafute pa kuishi! ! !

5) Yooote yanayotokea duniani ni kwa ajili ya wateule: tuko kwenye process ya kujifunza mema na mabaya. Tuko kwenye process ya kuonyesha Allegiance / Ushkamanifu wetu MUNGU wetu na sheria zake kwa hiari.

We LOVE our GOD and his laws.

Muovu akiona mtu anauawa anasema MUNGU mbaya kaacha auawe.

Wateule wakiona mtu anauawa wanasema MUNGU ni mwema, kwasababu amekataza kuua.

Mfano mmoja tu.

"Kabla ya kuumbwa ulimwengu, Mungu alituteua tuwe wake katika kuungana na Kristo ili tuwe watakatifu na bila hitilafu mbele yake. Kwa sababu ya upendo wake,

Mungu alikuwa ameazimia tangu zamani kutuleta kwake kama watoto wake kwa njia ya Yesu Kristo. Ndivyo alivyopenda na kunuia."

Waefeso.1.4-5.BHN
Mkuu upo vizuri, hongera kwa uchambuzi mzuri.
 
Enh ILI jibu linaonekana jepesi Kwa akina Kiranga na Scars wao wanataka mema TU mambo ya mabaya hahaha the nature of God according to Christianity ni free will.

Sasa HUWEZI force God to behave the same as you want huyo anakuwa sio MUNGU Bali ni kama jamaa YAKO WA utotoni mnabishana naye
Kwanza kabisa hakuna sehemu niliposema nataka mema tu.

Wewe ndiye huelewi somo.

Kama unabisha nioneshe sehemu yoyote niliposema nataka mema tu.

Weka hapa nukuu.

Twende kazi.
 
Back
Top Bottom