Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
Baba literally means SOURCENimeona hii picha FB ya huyu jamaa ambaye "simjui" ila amenifikirisha mengi ....
View attachment 3548342
Twende taratibu .....
Naomba nitoe hoja kwa njia ya maswali kama ifuatavyo?
1. Kama shetani ndio baba wa dhambi, dhambi alizotenda yeye za kuasi mbinguni zilitoka wapi??
2. Kama kila dhambi huwa tunapata ushawishi wa shetani, nani alimshawishi shetani kutenda dhambi ya uasi??
3. Shetani na "supporter" wake walitaka kutenda uasi wa mapinduzi, sasa hiyo akili ya uasi nani aliingiza kwenye fikra zao ikiwa wakati huo hakuna nyoka mtenda dhambi?
4. Kwenye mafundisho ya Kipaimara niliambiwa "shetani kazi yake ni kukusanya/kushawishi watu atakaoenda nao motoni..""
Sasa ni nani alimshawishi shetani atende dhambi ili aende nae motoni?
Tafadhali naomba nisipate yale majibu ya kutishana.
Hebu nielezeeni ki-layman language na mimi nielewe..!!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Enh ILI jibu linaonekana jepesi Kwa akina Kiranga na Scars wao wanataka mema TU mambo ya mabaya hahaha the nature of God according to Christianity ni free will.1) Dhambi ni kwenda kinyume na MUNGU.
"Kila mtu atendaye dhambi anavunja sheria ya Mungu, maana dhambi ni uvunjaji wa sheria."
1Yohana.3.4.BHN
2) Aliweza kwenda kinyume / kutenda dhambi kwasababu ana FREE WILL.
3) MUNGU anataka wale tu ambao na wao wanamtaka kwa hiari, hataki marobot.
4) Kabla hata ya kuanza kuumba, MUNGU alijua kuna viumbe wangeenda kinyume kwa hiari.
Kama mwenye Enzi Kuu, maamuzi yake ya mwisho ni kuwaondoa, they'll go back to nothing .
Kama una nyumba yako watu hawataki kufuata sheria zao si wakatafute pa kuishi! ! !
5) Yooote yanayotokea duniani ni kwa ajili ya wateule: tuko kwenye process ya kujifunza mema na mabaya. Tuko kwenye process ya kuonyesha Allegiance / Ushkamanifu wetu MUNGU wetu na sheria zake kwa hiari.
We LOVE our GOD and his laws.
Muovu akiona mtu anauawa anasema MUNGU mbaya kaacha auawe.
Wateule wakiona mtu anauawa wanasema MUNGU ni mwema, kwasababu amekataza kuua.
Mfano mmoja tu.
"Kabla ya kuumbwa ulimwengu, Mungu alituteua tuwe wake katika kuungana na Kristo ili tuwe watakatifu na bila hitilafu mbele yake. Kwa sababu ya upendo wake,
Mungu alikuwa ameazimia tangu zamani kutuleta kwake kama watoto wake kwa njia ya Yesu Kristo. Ndivyo alivyopenda na kunuia."
Waefeso.1.4-5.BHN
Hawataki uwajibikaji.
Hapana Mungu hakuwahi kuumba dhambi
Makosa yanaweza kuwa sio option sahihi ya kufanya judgment kulingana na muktadha unaojadiliwa.Hawataki uwajibikaji.
Wataangalia kila mahali kutafuta makosa, watatafuta kila wa kumpa lawama, hawatojiangalia wenyewe kamwe!
Utoto, Upumbavu pro max.
Eti kwanini free will I affect mtu mwingine! Mtu huyo huyo anasema Mungu hana upendo! Huo Upendo unajua maana yake nini? Kama unajua Upendo ni nini huwezi kuuliza kwanini Free Will ina affect watu wengine!
Dhambi ni kujua mema na mabaya kisha ukatenda mabaya ..ukiwa umezaliwa kichaa hata utukane au usex au uue hakuna dhambiNimeona hii picha FB ya huyu jamaa ambaye "simjui" ila amenifikirisha mengi ....
View attachment 3548342
Twende taratibu .....
Naomba nitoe hoja kwa njia ya maswali kama ifuatavyo?
1. Kama shetani ndio baba wa dhambi, dhambi alizotenda yeye za kuasi mbinguni zilitoka wapi??
2. Kama kila dhambi huwa tunapata ushawishi wa shetani, nani alimshawishi shetani kutenda dhambi ya uasi??
3. Shetani na "supporter" wake walitaka kutenda uasi wa mapinduzi, sasa hiyo akili ya uasi nani aliingiza kwenye fikra zao ikiwa wakati huo hakuna nyoka mtenda dhambi (influencer wa dhambi)?
4. Kwenye mafundisho ya Kipaimara niliambiwa "shetani kazi yake ni kukusanya/kushawishi watu atakaoenda nao motoni..""
Sasa ni nani alimshawishi shetani atende dhambi ili aende nae motoni?
Tafadhali naomba nisipate yale majibu ya kutishana.
Hebu nielezeeni ki-layman language na mimi nielewe..!!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Shauri zako.Hizo hadithi za Mungu ukiwa na akili timamu kidogo tu utangamua ni fix za kijinga sana
YeahShauri zako.
Sasa kinachomkasirisha ni kipi wakati yeye ndio chanzo za kila kitu mpaka uovu?Mungu anajua kila kitu, kwahyo kipindi anamuumba shetani alijua kabisa baadae shetani atakuja kuwaje, lakini akamuumba hivo hivo tu Kwa maana pia ndio lilikuwa lengo lake na wala si bahati mbaya.
Let that sink in
Mkuu upo vizuri, hongera kwa uchambuzi mzuri.1) Dhambi ni kwenda kinyume na MUNGU.
"Kila mtu atendaye dhambi anavunja sheria ya Mungu, maana dhambi ni uvunjaji wa sheria."
1Yohana.3.4.BHN
2) Aliweza kwenda kinyume / kutenda dhambi kwasababu ana FREE WILL.
3) MUNGU anataka wale tu ambao na wao wanamtaka kwa hiari, hataki marobot.
4) Kabla hata ya kuanza kuumba, MUNGU alijua kuna viumbe wangeenda kinyume kwa hiari.
Kama mwenye Enzi Kuu, maamuzi yake ya mwisho ni kuwaondoa, they'll go back to nothing .
Kama una nyumba yako watu hawataki kufuata sheria zao si wakatafute pa kuishi! ! !
5) Yooote yanayotokea duniani ni kwa ajili ya wateule: tuko kwenye process ya kujifunza mema na mabaya. Tuko kwenye process ya kuonyesha Allegiance / Ushkamanifu wetu MUNGU wetu na sheria zake kwa hiari.
We LOVE our GOD and his laws.
Muovu akiona mtu anauawa anasema MUNGU mbaya kaacha auawe.
Wateule wakiona mtu anauawa wanasema MUNGU ni mwema, kwasababu amekataza kuua.
Mfano mmoja tu.
"Kabla ya kuumbwa ulimwengu, Mungu alituteua tuwe wake katika kuungana na Kristo ili tuwe watakatifu na bila hitilafu mbele yake. Kwa sababu ya upendo wake,
Mungu alikuwa ameazimia tangu zamani kutuleta kwake kama watoto wake kwa njia ya Yesu Kristo. Ndivyo alivyopenda na kunuia."
Waefeso.1.4-5.BHN
Kwanza kabisa hakuna sehemu niliposema nataka mema tu.