Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 789
- 2,613
Mwanzoni nilikuwa na wazo la kutimkia huko MADAGASCAR, ila sasa nimebadili gia angani yaani ndege nimeipiga U-TURN.
Maana naona kukaa bongo ni kama nimechoka maana madrama kila kona.
Ukipanga chumba drama kibao, mtaani drama kibao, kwenye migahawa ya chakula drama kibao, siasa drama kibao, maofisini drama kibao, mapenzi drama kibao, kanisani drama kibao, msikitini drama kibao, kwa mabarmaid drama kibao ni bora nitimkie huko hawaii nasikia ni kuzuri sana.
Just imagine baada ya kupiga safari tatu kubwa ili kushtua nyongo sasa nimeagiza valeur kubwa lakini barmaid niliyemwagiza hajaleta anajizungusha zungusha tu na mtako wake ananiuliza mara mbilimbili kwa hiyo unachanganya valeur na safari? Mi namwambia fanya nilichokuagiza.
Anaendelea tu kuzunguka huko anarudi kuniuliza kwahiyo nikuletee uko serious? Aaaàaagh kwani ana malengo gani na mimi ananitaka au?
Haya mambo nadhani hawaii hayapo ni full raha.
Naombeni details za huko HAWAII waungwana.