Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa hiki kisiwa cha HAWAII kiko wapi nahitaji nikaishi huko

Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa hiki kisiwa cha HAWAII kiko wapi nahitaji nikaishi huko

Kwanza ufahamu Tanzania tupo nyumba karibia kila kitu including hizo Drama, kama unahisi kuna drama za siasa na mengineyo basi hujatembea duniani.

Hapa hapa Tanzania kuna watu walikua hawajui kama Nyerere kafa, kuna maeneno kibao unaweza kuishi bila kupata hizo drama.

View attachment 3672898
Hawaii hapo, Andaa na hela ya kiwanja kama nauli.
Hembu taja hizo sehem za bongo ambazo Bado wanajua Nyerere Bado raisi, niwahi eneo kabisa ikifika wakati napotea kabisa
 
Mambwa wanoko hawakubali kirahisi ukaishi kwao, ukiwa mweusi wa kutoka Africa inabidi uwe mbishi na utumie tricks sana ndio ukaishi huko. Hatutakiwi
 
Hembu taja hizo sehem za bongo ambazo Bado wanajua Nyerere Bado raisi, niwahi eneo kabisa ikifika wakati napotea kabisa
 
Back
Top Bottom