Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Nakumbuka huko nyuma barabara za mitaa zilipokuwa zinatengenezwa greda ikishachimba zinakuja lori zinamwaga kifusi kutwa,Hadi kazi kukamilika unakuta wiki nzima vifaa vya kazi vipo hapo na barabara ikishatengenezwa inadumu.kwanini sasa greda inachimba halafu boza inamwaga maji na kushindilia siku hiyo hiyo moja kazi inakuwa imeisha?je huu mtindo wa kuchimba,kumwaga maji na kushindilia siku moja kwa udongo uleule bila kumwaga vifusi ni sawa?