Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Wizi ni mwingi siku hizi na hakuna wa kuukemeaNakumbuka huko nyuma barabara za mitaa zilipokuwa zinatengenezwa greda ikishachimba zinakuja lori zinamwaga kifusi kutwa,Hadi kazi kukamilika unakuta wiki nzima vifaa vya kazi vipo hapo na barabara ikishatengenezwa inadumu.kwanini sasa greda inachimba halafu boza inamwaga maji na kushindilia siku hiyo hiyo moja kazi inakuwa imeisha?je huu mtindo wa kuchimba,kumwaga maji na kushindilia siku moja kwa udongo uleule bila kumwaga vifusi ni sawa?
"Je, huu mtindo wa kuchimba,kumwaga maji na kushindilia siku moja kwa udongo uleule bila kumwaga vifusi ni sawa?" Kwa hisia zangu ni sawa maana inaondoa ukavu unaoweza kusababisha michubuko.Nakumbuka huko nyuma barabara za mitaa zilipokuwa zinatengenezwa greda ikishachimba zinakuja lori zinamwaga kifusi kutwa,Hadi kazi kukamilika unakuta wiki nzima vifaa vya kazi vipo hapo na barabara ikishatengenezwa inadumu.kwanini sasa greda inachimba halafu boza inamwaga maji na kushindilia siku hiyo hiyo moja kazi inakuwa imeisha?je huu mtindo wa kuchimba,kumwaga maji na kushindilia siku moja kwa udongo uleule bila kumwaga vifusi ni sawa?
Wizi wa fedha za ummaNakumbuka huko nyuma barabara za mitaa zilipokuwa zinatengenezwa greda ikishachimba zinakuja lori zinamwaga kifusi kutwa,Hadi kazi kukamilika unakuta wiki nzima vifaa vya kazi vipo hapo na barabara ikishatengenezwa inadumu.kwanini sasa greda inachimba halafu boza inamwaga maji na kushindilia siku hiyo hiyo moja kazi inakuwa imeisha?je huu mtindo wa kuchimba,kumwaga maji na kushindilia siku moja kwa udongo uleule bila kumwaga vifusi ni sawa?
Je ishu ya kuchimba na kushindilia siku moja imetoka hiyo ni sawa kwa ubora wa njia?Inategemea pia na aina ya udongo kwa sehemu husika; kuna sehemu udongo utahitajika kubadilishwa, na kwingine kunakuwa hakuna ulazima.
Hakuna bango.tuwaheshimu TANROADS na TARURA.
angalia hapo wanapotengeneza barabara km kuna bango la project, lile chini wanamaliziaga "UKIMWI UNAUA." angalia wasimamizi ni akina nani uende kuwachallenge kwa maswali.
Wakati mwingine ni kuchezea kodi zetu tu.Nakumbuka huko nyuma barabara za mitaa zilipokuwa zinatengenezwa greda ikishachimba zinakuja lori zinamwaga kifusi kutwa,Hadi kazi kukamilika unakuta wiki nzima vifaa vya kazi vipo hapo na barabara ikishatengenezwa inadumu.kwanini sasa greda inachimba halafu boza inamwaga maji na kushindilia siku hiyo hiyo moja kazi inakuwa imeisha?je huu mtindo wa kuchimba,kumwaga maji na kushindilia siku moja kwa udongo uleule bila kumwaga vifusi ni sawa?
Shida ni kwamba udongo wanaoshindilia si mzuri,na maji yanamwagwa rasharasha tu ikija shindiria udongo unakuwa haujakamatana hivyo ni rahisi kutifuka.hatimaye njia inaharibika."Je, huu mtindo wa kuchimba,kumwaga maji na kushindilia siku moja kwa udongo uleule bila kumwaga vifusi ni sawa?" Kwa hisia zangu ni sawa maana inaondoa ukavu unaoweza kusababisha michubuko.
Hatari kwelikweli lakini salama.Shida ni kwamba udongo wanaoshindilia si mzuri,na maji yanamwagwa rasharasha tu ikija shindiria udongo unakuwa haujakamatana hivyo ni rahisi kutifuka.hatimaye njia inaharibika.