Yaani unamtumia mcheza mieleka kukujibu juu ya kara te? Kweli bro upo serious?
Hahaha basketball. Nilikua namjibu mwanangu juu ya mieleka ila nikawa naandika juu ya Karim.Nani ni mcheza mieleka? Acha KUKURUPUKA! Kama kitu hujui ULIZA!
Hahaha basketball. Nilikua namjibu mwanangu juu ya mieleka ila nikawa naandika juu ya Karim.
Ubongo ukamix code
Either way huwezi mtegemea Karim akujibu juu ya kara te. Kaigiza muvi hazizidi nne, hiyo ya Bruce, muvi ya Airplane (parody) na nyingine kaonekana kasimama tu.
Ya kara te?Bruce Lee wa kuigiza movie na uwezo wake in REAL LIFE are two different things. Kareem alikuwa ni rafiki wa karibu kabisa wa Bruce Lee na mara nyingi walifanya mazoezi pamoja.
😀 Usijari ngoja...niandae mpambano.Hakuna wewe hata mimi nakudunda tu
Unakaza mwili unapojiandaa kutoa pigo or unapopokea pigo la mpinzani...pia unamwachia adui yako akushambulie...huku Wewe ukiwa unatafuta sehemu aliyo iacha umpige KO... yaani anakupiga ngumi tatu...wewe unampa moja ya mbupu au jicho 😀[emoji23][emoji23][emoji23]
Enhee kata ndo ipoje hiyo?
Kareem abdul jabberBruce Lee wa the REAL THING. There were no LIES in his ability to perform. So many people who knew Bruce Lee spoke about this fact including Kareem Abdul Jabber
Ulimuona live akifanya hivyo au ni movie tu?Watalaam wa karate naomba mnisaidie hili, Ni kwa sababu gani Bruce Lee akiwa anapigana alikuwa anajikaza Sana mwili na kutoa sauti Kama za paka, Mara apige kelele za ajabu.
Yaani kajamaa unkuta kamekakamaa yaani.
Kiai ipo katia karate tu.Kung- Fu Haina Kiai.Bruce Lee aliiba hii kiai kutoka Kwa wajapani ambao wao wanacheza karate.Hapana mkuu unkosea sana wana karate ,kiai ni kwa ajili ya kukufundisha wewe kutumia pumzi yako vizuri ili uweze ku block na kutoa shambulio effectively yaani una block kwa nguvu na unapiga kwa nguvu.
Now hao wote ni usaidizi wa camera tupu..Mwingine ninaesikia anafanya uhalisia kwa kiasi kikubwa Ni Michael Jay White
Kareem Abdul jabar was taught martial art by Bruce Lee.Yaani unamtumia mcheza basketball kukujibu juu ya kara te? Kweli bro upo serious?
Huyo alikuwa ni really martial art,,Hahaha basketball. Nilikua namjibu mwanangu juu ya mieleka ila nikawa naandika juu ya Karim.
Ubongo ukamix code
Either way huwezi mtegemea Karim akujibu juu ya kara te. Kaigiza muvi hazizidi nne, hiyo ya Bruce, muvi ya Airplane (parody) na nyingine kaonekana kasimama tu.
Abdul alikua anafanya martial art? Hili nalo jipyaHuyo alikuwa ni really martial art,,
Alikuwa mwanafunzi wa Bruce Lee.
Hivi mtu wa martial art hawezi kuwa na fani ingine?
Alisikika shabiki wa "Jei Plas".Halafu wala hakuwa mkali kiviiile
Mkuu mbona unazidi kuchanganya mambo? Mabondia huwa wanatumia "shsss" wakati wakirusha shambulio hii huifanya hewa itoke nje ya mapafu na kutoa shambulio lenye nguvu.Kiai ipo katia karate tu.Kung- Fu Haina Kiai.Bruce Lee aliiba hii kiai kutoka Kwa wajapani ambao wao wanacheza karate.
Wacheza Kung Fu na hate mabondia hawatumii kiai na wanapigana na kushinda.
KIAI inaaminika kuongeza morality was kupigana na kuibua chi power ( Yaani nguvu ya dani kabisa na ya kichawi).