Mwingine ninaesikia anafanya uhalisia kwa kiasi kikubwa Ni Michael Jay White
Now hao wote ni usaidizi wa camera tupu..
Bruce Lee alikuwa reality,
Kuna picha moja ya chuck Norris na Bruce Lee lilikuwa ni pambano la kweli kabisa,,( way of dragon)
That time chuck noris alikuwa ni mkali wa karate marekani,, na Bruce alikuwa mkali wa kung fu China.
Wakati wa kurekodi kila mtu alitaka uhusika mkuu kwenye ile movie.
Ndy hapo inasemekana Bruce alitaka pambano la kwl kabisa,
Ambalo walipigana kwenye mapango ya Russia.
Pambano hilo Chuck Norris alipigwa kweli na kuvunjwa mkono na mguu na Bruce Lee.
Baada ya hapo chuck Norris akakimbilia kwenye movie za kivita .
Bruce alikuwa ni mkali haswa wa kung fu,,na hata kifo chake ni njama za wachina wenyewe baada ya bruce kuonekana anawafundisha wazungu kung fu,,na mbinu za mapigano.