Wajuzi wa karate, ni kwanini Bruce Lee alikuwa anajikaza sana wakati wa kupigana?

Wajuzi wa karate, ni kwanini Bruce Lee alikuwa anajikaza sana wakati wa kupigana?

Nani ni mcheza mieleka? Acha KUKURUPUKA! Kama kitu hujui ULIZA!
Hahaha basketball. Nilikua namjibu mwanangu juu ya mieleka ila nikawa naandika juu ya Karim.

Ubongo ukamix code

Either way huwezi mtegemea Karim akujibu juu ya kara te. Kaigiza muvi hazizidi nne, hiyo ya Bruce, muvi ya Airplane (parody) na nyingine kaonekana kasimama tu.
 
Masensei tunawaangalia tu mnavyojikanyafa kujibu.
[emoji846]
 
Bruce Lee wa kuigiza movie na uwezo wake in REAL LIFE are two different things. Kareem alikuwa ni rafiki wa karibu kabisa wa Bruce Lee na mara nyingi walifanya mazoezi pamoja.

Hahaha basketball. Nilikua namjibu mwanangu juu ya mieleka ila nikawa naandika juu ya Karim.

Ubongo ukamix code

Either way huwezi mtegemea Karim akujibu juu ya kara te. Kaigiza muvi hazizidi nne, hiyo ya Bruce, muvi ya Airplane (parody) na nyingine kaonekana kasimama tu.
 
karate ni mchexo wa nguvu sana, unapo fanya kitendo cha nguvu kama kurusha ngumi ni lazima urushe kwa kutumia nguvu sana na kupiga kelele ili kutoa pressure ndani ya mwili na mwili ubaki salama, usipofanya hivyo unaweza kupasua viungo laini ndani ya mwili bila ww kujijua kutokana na pressure iliyopo ndani ya mwili. hata ukiuzulia mafunzo ya karate utaambiwa hivyo. hata mchezo wa Ngumi ukifatilia utasikia bondia anaporusha ngumi huwa anaguna.
 
Bruce Lee wa kuigiza movie na uwezo wake in REAL LIFE are two different things. Kareem alikuwa ni rafiki wa karibu kabisa wa Bruce Lee na mara nyingi walifanya mazoezi pamoja.
Ya kara te?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Enhee kata ndo ipoje hiyo?
Unakaza mwili unapojiandaa kutoa pigo or unapopokea pigo la mpinzani...pia unamwachia adui yako akushambulie...huku Wewe ukiwa unatafuta sehemu aliyo iacha umpige KO... yaani anakupiga ngumi tatu...wewe unampa moja ya mbupu au jicho 😀

Ka'angalie filamu ya ONG' BAK 1 Ametumia sana hiyo staili.
 
Bruce Lee wa the REAL THING. There were no LIES in his ability to perform. So many people who knew Bruce Lee spoke about this fact including Kareem Abdul Jabber
Kareem abdul jabber
Game of death
A great movie and probably the last movie of Bruce
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Watalaam wa karate naomba mnisaidie hili, Ni kwa sababu gani Bruce Lee akiwa anapigana alikuwa anajikaza Sana mwili na kutoa sauti Kama za paka, Mara apige kelele za ajabu.

Yaani kajamaa unkuta kamekakamaa yaani.
Ulimuona live akifanya hivyo au ni movie tu?
 
Hapana mkuu unkosea sana wana karate ,kiai ni kwa ajili ya kukufundisha wewe kutumia pumzi yako vizuri ili uweze ku block na kutoa shambulio effectively yaani una block kwa nguvu na unapiga kwa nguvu.
Kiai ipo katia karate tu.Kung- Fu Haina Kiai.Bruce Lee aliiba hii kiai kutoka Kwa wajapani ambao wao wanacheza karate.

Wacheza Kung Fu na hate mabondia hawatumii kiai na wanapigana na kushinda.

KIAI inaaminika kuongeza morality was kupigana na kuibua chi power ( Yaani nguvu ya dani kabisa na ya kichawi).
 
Mwingine ninaesikia anafanya uhalisia kwa kiasi kikubwa Ni Michael Jay White
Now hao wote ni usaidizi wa camera tupu..

Bruce Lee alikuwa reality,

Kuna picha moja ya chuck Norris na Bruce Lee lilikuwa ni pambano la kweli kabisa,,( way of dragon)

That time chuck noris alikuwa ni mkali wa karate marekani,, na Bruce alikuwa mkali wa kung fu China.

Wakati wa kurekodi kila mtu alitaka uhusika mkuu kwenye ile movie.

Ndy hapo inasemekana Bruce alitaka pambano la kwl kabisa,

Ambalo walipigana kwenye mapango ya Russia.

Pambano hilo Chuck Norris alipigwa kweli na kuvunjwa mkono na mguu na Bruce Lee.

Baada ya hapo chuck Norris akakimbilia kwenye movie za kivita .

Bruce alikuwa ni mkali haswa wa kung fu,,na hata kifo chake ni njama za wachina wenyewe baada ya bruce kuonekana anawafundisha wazungu kung fu,,na mbinu za mapigano.
 
Yaani unamtumia mcheza basketball kukujibu juu ya kara te? Kweli bro upo serious?
Kareem Abdul jabar was taught martial art by Bruce Lee.
He was one of Bruce Lee's students.

jamaa alikuwa mkali wa basketball na kung fu,,

ndy maana akapata nafasi ya kuigiza hizo movie za Bruce.
 
Hahaha basketball. Nilikua namjibu mwanangu juu ya mieleka ila nikawa naandika juu ya Karim.

Ubongo ukamix code

Either way huwezi mtegemea Karim akujibu juu ya kara te. Kaigiza muvi hazizidi nne, hiyo ya Bruce, muvi ya Airplane (parody) na nyingine kaonekana kasimama tu.
Huyo alikuwa ni really martial art,,

Alikuwa mwanafunzi wa Bruce Lee.

Hivi mtu wa martial art hawezi kuwa na fani ingine?
 
Way of the dragon movie was a really match.

Bruce Lee & chuck Norris.
Screenshot_2020-12-14-01-00-34.jpeg
 
hivi kale ka shaolin kaliko badili maisha ya bruce lee kapo bado? Maana jamaa ilibidi aingie uhamishoni na kujitafakari.
 
Kiai ipo katia karate tu.Kung- Fu Haina Kiai.Bruce Lee aliiba hii kiai kutoka Kwa wajapani ambao wao wanacheza karate.

Wacheza Kung Fu na hate mabondia hawatumii kiai na wanapigana na kushinda.

KIAI inaaminika kuongeza morality was kupigana na kuibua chi power ( Yaani nguvu ya dani kabisa na ya kichawi).
Mkuu mbona unazidi kuchanganya mambo? Mabondia huwa wanatumia "shsss" wakati wakirusha shambulio hii huifanya hewa itoke nje ya mapafu na kutoa shambulio lenye nguvu.

Hiyo ni equivalent ya "kiai" kwa wana boxing.

Ukija kwa wana Tae kwo ndo wanaita "kihap" yaani wao ni zile kelele wanazotoa pindi wakitoa shambulio.

Kwenye kung fu kuna wanaotoa na wasio toa mfano ukija soft style kung fu mfano tai ji wao mara zote huwa wana jifunza breathing techniques ambazo huwasaidia kuongoza pumzi zao vizuri similar to kiai.

Kwa hard style kung fu mara nyingi huwa wanatumia kiai .

Nimekupa hayo maelezo kwa sababu nayaishi maisha ya martial arts na napenda pia kufuatilia historia zake.
 
Back
Top Bottom