Wajuzi wa mambo, hivi kwanini Biden bado ni rais wa USA pamoja na maboko yake yote?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha wee jama. Faster pitia hapo kwa mangi uagizie chochote ntapita baadaye na range yangu 2024 kulipa
 
Biden yuko vizuri sana. Anaipeleka uchumi wa marekani mazuri. Sasa hivi kila mwezi kuna high employment rates, consumers confidence, mafuta yameshuka kuna states hadi gas per gallon ni 2usd.

Na atashinda uchaguzi mwakani akiendelea hivi. Sasa hivi huwasikii Republicans wakizungumzi uchumi kuishambulia Biden bali wanatumia Immigration na umri mkubwa wa Biden na kusahau.

Pia mambo ya kijinga kama arbotion na ushoga yatampaisha Biden.

Pia issue ya student loan inamfavour biden.

Nilishangaa red states conservative kama Kansas na Arizona zimeanza kuelekea blue Democrats na vijana wapya wapiga kura wapya kwa wingi ni Democrats.

Waislam wote watampa Biden licha ya kulalamika anaiunga taifa teule dhidi ya Palestinian.

Maghayo is a senior JF local and international political analyst and correspondent and a London based Chatham house Think-tank.

Glenn kajekudya Magonjwa Mtambuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…