Wajuzi wa mambo, hivi kwanini Biden bado ni rais wa USA pamoja na maboko yake yote?

Wajuzi wa mambo, hivi kwanini Biden bado ni rais wa USA pamoja na maboko yake yote?

Yaani watz nuclear tunaichukulia poa sana! Huwa nashangaa sana, hasa humu jf.

Kubonyeza kitufe cha nuclear tunachukulia easy kama kubonyeza kisimi cha mwaju pale uwanja wa fisi.

Kiduku na ukichaa wake wote nuclear anaiheshimu na hawezi kuikurupukia tu, Putin ndo kabisaaaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wee jama. Faster pitia hapo kwa mangi uagizie chochote ntapita baadaye na range yangu 2024 kulipa
 
1. Mara kadhaa ameshaanguka tu hadharani.

2. Kusahau sahau anachotaka kusema.

3. Kumtukana, "What a stupid son of a bitch", mwandishi aliyemuuliza swali khhusu inflation.....huku kipaza sauti kikuwa on (alisahau kukizima).

4. Kupotea njia...n.k

Sasa nachukulia ukubwa wa USA, kiranja wa dunia, mwenye mambo kibaaao ya kuyashughulikia duniani hapa wakati wote na siku zote; inakuaje wawe na raisi asiye na uhakika namna hii?!! Akijisahau aka akabonyeza kitufe cha kulipua nuclear je?

Ni kuheshimu demokrasia tu au ana kitu 'special' huyu Biden wanachokijua wenyewe?!!

Nasikia amesema atagombea tena...🙄🙄
Biden yuko vizuri sana. Anaipeleka uchumi wa marekani mazuri. Sasa hivi kila mwezi kuna high employment rates, consumers confidence, mafuta yameshuka kuna states hadi gas per gallon ni 2usd.

Na atashinda uchaguzi mwakani akiendelea hivi. Sasa hivi huwasikii Republicans wakizungumzi uchumi kuishambulia Biden bali wanatumia Immigration na umri mkubwa wa Biden na kusahau.

Pia mambo ya kijinga kama arbotion na ushoga yatampaisha Biden.

Pia issue ya student loan inamfavour biden.

Nilishangaa red states conservative kama Kansas na Arizona zimeanza kuelekea blue Democrats na vijana wapya wapiga kura wapya kwa wingi ni Democrats.

Waislam wote watampa Biden licha ya kulalamika anaiunga taifa teule dhidi ya Palestinian.

Maghayo is a senior JF local and international political analyst and correspondent and a London based Chatham house Think-tank.

Glenn kajekudya Magonjwa Mtambuka
 
Back
Top Bottom