Mkuu aliniambia hiyo ni gharama ya ufundi wa msingi wa nyumba tuu, ni nje ya material (namaanisha material ni juu yangu ni nje ya hiyo 1.8M)Hebu weka vizuri taarifa, hiyo 1.8m ni msingi au nyumba kujengwa mpaka lintel?
Materials yote ushanunua? Sand, Aggregates, blocks, Cement,
Tupatie taarifa sahihi ili tukusaidie ikibidi fundi nae tukupatie maana unaweza kulalamika hiyo 1.8m wakati unajenga ghorofa au eneo lako lina bonde n.k
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Unajenga nyumba aina gani? Ghorofa au mfuto?iyo mkuu aliniambia ni gharama ya ufundi tuu material ni juu yangu
Wewe unataka watu wakudanganye ukweli hiyo hela sio nyingi inategemea naeneo husika kuna sehemu msingi unajengwa kwazaidi ya hiyo. Waambie watu eneo lako liko wapi au likoje hapo wanaweza kukusaidia.iyo mkuu aliniambia ni gharama ya ufundi tuu material ni juu yangu
Jihadhari usipotoshwe na watu humu, bei hiyo ikiwa ni fundi mzuri mchukue lakini afanye haya;iyo mkuu aliniambia ni gharama ya ufundi tuu material ni juu yangu
Asante mkuu kwa ushauri wako mzuriJihadhari udipotoshwe na watu humu, bei hiyo ikiwa ni fundi mzuri mchukue lakini afanye haya;
1. Kwenye msingi amimine ka zege angalau inch 2
Ndipo aanze kujenga tofali
2. Pili kiuno cha msingibakuwekee lenta/prince beam na amimine zege ya sakafu/floor
Bei sio kubwa kwa fundi mzuri.
Usikimbilie bei nafuu halafu nyumba ije kupasuka utaingia gharama kubwa.
Wabongo wanapenda vitu vizuri kwa macho visivyo na ubora chukua tahadhari
Karibu mkuu lakini pia muombe punguzo hadi 1.5ml kama ataridhia lakini epuka kuambiwa upewe fundi mwingine unaweza kujutia ushauri huo.asante mkuu kwa ushauri wako mzuri
Wengi ni wapotoshaji tu.Kama ni nyumba ya vyumba vitatu jiko na vyoo ndani andaa tofali 2,500 mawe trip 9 hizi Lori za size 4.5 mchanga alaf tafuta million 1.2 unapata fundi anakujengea kwanzia msingi had kunyanyua boma lote material na gharama za ufundi zitaangukia kwenye Kama 6M inabaki kupaua tu na kuendeleza jengo unajikusanya tena achana na huyo fundi wa 1.8M kwenye msingi tu atakutapisha damu
Mbezi Luis? Angeweza akapunguza kidogo japo bado sina uhakika sana na hiyo tambalale kama hivyo unavyoielezea kama itaendana na ujenzi, mimi nikukumbushe kidogo ujenzi wa maeneo mengi ya Mbezi Kimara na sehemu zinazokaribiana na hapo ni maeneo magumu kwenye ujenzi, wakati ukitafuta unafuu ukumbuke na ufanisi tunajua ugumu wa kudunduliza, usikurupuke usije ukaumia.kiwanja kipo mbezi, tambalale
Mcheza kamari nae eti mawe trip tisa anaijua bei ya mawe DarWengi ni wapotoshaji tu.
Mmeona ramani ya nyumba?
Unapata wapi uhalali wa kuchangia kwa ujasiri hivi ilhali hujui chochote?
Unalinganishaje na ujenzi wako?
Mbona hamuongelei ubora?
HahahaMcheza kamari nae eti mawe trip tisa anaijua bei ya mawe dar
Umesema vizuri kikubwa hapo ni uhakika wa huyo fundi na kazi yake.Karibu mkuu, lakini pia muombe punguzo hadi 1.5ml kama ataridhia lakini epuka kuambiwa upewe fundi mwingine unaweza kujutia ushauri huo.
Hapa watu wanatafutiana kazi nawajua wabongo wengi wapo kimaslahi
Mkuu nipo ndani ya fani hiiHahaha
Hajui kuwa sio lazima ujengee mawe pia.
Watu wanakariri tu hawajui hizi ni fani za watu