Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Hata kisturi sitegemei kama atapindua.Upo sahihi mkuu
Vipi unadhani nini kifanyike huko Misri ni rahisi kwa SIMBA kupindua Meza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kisturi sitegemei kama atapindua.Upo sahihi mkuu
Vipi unadhani nini kifanyike huko Misri ni rahisi kwa SIMBA kupindua Meza?
Kikubwa wajitahidi kutumia nafasi zinazopatikana.Upo sahihi mkuu
Vipi unadhani nini kifanyike huko Misri ni rahisi kwa SIMBA kupindua Meza?
Ukweli usemwe kama timu inapata nafasi zaidi ya 5 inashindwa kuzitumia huko Cairo hawata pata hio nafasi hata nusu yake kifupi ni kwamba mwendo wameumalizaKiongozi mbona una maneno makali sana.
Number 9 sio tatizo kama timu inaweza kufunga kutokea popote issue ni quality ya wachezaji mechi ya Jwaneng mbona hakukua na hizo lawama za number 9?Binafsi niliona matatizo yafuatayo.
~Simba hawana clinical number 9
~Wachezaji wa simba ni wagumu kufanya maamuzi ya haraka kwenye maeneo ambayo inahitajika kufanya hivyo.
~Simba wachezaji wengi umri umewatupa mkono
~Bado Simba tuna tatizo la kupoteza mipira kizembe tena kwenye maeneo hatarishi.
~Simba tuna changamoto kwenye eneo zima la kiulinzi.
~Simba hawapo vizuri kwenye kutumia ipasavyo mipira iliyokufa pamoja na kona
~mastrika wa simba wanahitaji walau chance nyingi ili wafunge goli moja.
NINI KIFANYIKE CAIRO?
~Wawaheshimu Al ahly kwa kukaba zaidi then watumie kaunta kupata goli na washikilie bomba kwelikweli,kinyume na hapo habari yetu ndio imeisha hapa
Mdomo kaka,hawa makolo walishadadia mambo ya mamelodi kuliko kujiandaa kuukabili mchezo wao na al ahly,kingine hizi mechi za mtoano watu timu haziangalii takwimu Bali wanaangalia ushindi wa magoli.
Hizo takwimu za umiliki za Simba usifikirie kuziona Cairo maana mametumia nguvu nyingi Sana lakn wamepigwa kwahy automatically miili imechoka na watawenda Cairo kukamilisha ratiba tu.
BahatiWadau wa Soka na wapenzi wa SIMBA poleni sana kwa kilichowapata jana.
Nimeona takwimu za Mchezo wa Jana SIMBA imeongoza sehemu kubwa lakini ikafungwa.
JE nini SABABU za SIMBA KUFUNGWA? Inawezekana ikawasaidia Mechi yao huko MISRI.
yes, after makolo defeatNgoja tuwaone UTOPOLO ambao hawakukomaa na mambo ya SIMBA wakafocus kwenye mechi yao
Ahly ndivyo wa chezavyo wakiwa ugenini, wanatafuta sare/suluhu ukilegea wanakufunga na uo ndio mpango wao wa miaka yote.Simba hata wangefunga bado Ahly wangeongeza,mashambulizi ya Ahly yalikuwa clinical ukilinganisha na Yale ya Simba
Sidhani kama jwaneng galaxy ni sample sahihi,Jwaneng hawana ubora kiasi kwamba wanaweza kupishana na simba,japo sio wabovuNumber 9 sio tatizo kama timu inaweza kufunga kutokea popote issue ni quality ya wachezaji mechi ya Jwaneng mbona hakukua na hizo lawama za number 9?
Uko sahihi hawajawahi kucheza tofauti na walivyocheza jna sema nao pale kwa Modeste naona wamepigwa jamaa hana speed na Wala sio katili la hasha Jana wangepata goli tatu clearAhly ndivyo wa chezavyo wakiwa ugenini, wanatafuta sare/suluhu ukilegea wanakufunga na uo ndio mpango wao wa miaka yote.
Ukiwatangulia kwa goli watahakikisha wana sawazisha na ndio msingi wa kutamba kwao katika soka la Afrika.