Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Boksa za uturuki nzuri wanauza 7000 hadi 10000 lakini kuna chines version wanauza hadi 2000 hadi 3000 hii haifanyi usifue na usiwe msafi, nguo za ndani safi huzuia hata magonjwa ya ngozi
Ahahaha,,,kumbe ni zaidi ya Bei niliyotaja.!
 
Back
Top Bottom