Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana,

Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.

Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.

Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.

Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma

Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...

Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.

Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.

Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.

Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.

Fueni boxer kaka zangu...
sasa kwanini hukumwambia?, umetumia kauli ya jumla sio kila ntu yuko hivyo
 
daah dada kukaa namimi siku ile na kupata harufu ya vitu vyangu vya ndani ndo umaeamua kuja kunianika huku nilisahau tu siku ile kufua
 
Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana,

Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.

Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.

Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.

Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma

Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...

Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.

Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.

Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.

Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.

Fueni boxer kaka zangu...
Boxer inauzwa 3,500/=. Sijui unalijua Hili?
 
Back
Top Bottom