lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Jamii forums Kila mtu ni tajiri[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boxer Huwa ni 8 tu Kila siku Moja ndani ya hizo siku Saba sikosi Moja ya kufua zilizo chafu.
Boksa buku tatu tu?. Mtu ukitenga zako elf 20 unapata boksa za kuvaa wiki nzimaBoxa zenyewe unakuta kijana anazo mbili, hata akijitahidi kufua vipi bado kuna wakati tu atarudia boxa moja siku kadhaa mana vijana wa kiume hatunaga desturi ya kufua kila siku. Ukijumlisha na kutembea sana kwa mguu(jasho kwa wingi), unakuta hata sio kosa lake
Kuna wale tusiovaa boxer, huu ushauri wako unatuhusu?Fueni boxer kaka zangu...
Wamasai 😆Kuna wale tusiovaa boxer, huu ushauri wako unatuhusu?
Mwanaume halisi havaagi boxerWamasai 😆
Mm boksa ikiwa na polycoton inateleza teleza onasimamisha mkuyenge. Nafkiria kuacha na mmMwanaume halisi havaagi boxer
Karibu kwenye chama letu laMm boksa ikiwa na polycoton inateleza teleza onasimamisha mkuyenge. Nafkiria kuacha na mm
Wamekusikia makuli wa kkoo 😂Mfue suruali msirudie, bila hivyo mambo ni yaleyale...
Mi sio mnyiramba mkuu.Boxer 8 huwa unajinyea mkuu [emoji16]boxer mwisho tatu tu,moja ya kwendea kazini,nyingine ya kusafiria na ya tatu ni yakukwendea kwenye show [emoji28]
Mimba ya wiki 2 tu tayari unaanza kuhisi harufu kwa kila mtu!Habari wakuu,
Nimewakumbuka sana,
Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.
Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.
Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.
Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma
Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...
Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.
Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.
Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.
Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.
Fueni boxer kaka zangu...
😂😂😂Mtaua watuMwanaume inatakiwa ufue after one week 🤣🤣🤣
😂😂Boxer 8 huwa unajinyea mkuu [emoji16]boxer mwisho tatu tu,moja ya kwendea kazini,nyingine ya kusafiria na ya tatu ni yakukwendea kwenye show [emoji28]
😂😂😂Umesahau chupi za TMK [emoji23][emoji23]
Ulijuaje kama ni boxer na sio pichu???Habari wakuu,