Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo nikuache hivyohvyo auwe usiniambie
Yote haya yamekuja kisa kusema sisi wasafi dadek 😂😂😂😂😂Wanachokiandika hapa kisikufanye uwavike usafi..
Wangekuwa Dabliyusibii sasa
Acha sasa ku dig mambo ya ajabu 😂😂😂...I'm a digger dats why I'm digging deeper
Labda kakakuonaAcha sasa ku dig mambo ya ajabu 😂😂😂...
Unaweza jikuta unafanya conservation ya hovyo na kaka yako wa kwanza kijana
kwahiyo ulipeleka pua hadi kwenye kiuno chake kunusa kama ni boxerHabari wakuu,
Nimewakumbuka sana,
Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.
Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.
Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.
Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma
Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...
Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.
Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.
Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.
Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.
Fueni boxer kaka zangu...
ikiwezekana 😊Kwa hiyo nikuache hivyohvyo au
Isipowezekanaikiwezekana 😊
Muda gani?Nani ?
Lini ?
Wapi ?
😂😂😂😂
itabidi nifanye mwenyewe uchunguzi wa kinaIsipowezekana
Kuhusiana na niniitabidi nifanye mwenyewe uchunguzi wa kina
hicho ulichokisema kama ni kweli au laaKuhusiana na nini
dah pole sana japo na mimi hakuna kitu kinanichukiza kama kupishana na mwanamke alafu awe anatoa haruf ya jasho kali,au unapnda gari alafu dada kavaa nguo ya mikono mifupi alafu ana bonge la vuzi la kwapaHabari wakuu,
Nimewakumbuka sana,
Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.
Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.
Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.
Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma
Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...
Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.
Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.
Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.
Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.
Fueni boxer kaka zangu...
😂😂😂🙌🙌🙌Muda gani?
Ulikuwa na nani?
Ilikuwaje?
Hii inamuhusu mshamba_hachekwiunashangaa nini sasa😂😂😂
Mtu kama anakaa mbagala alafu mbagala ya daslam..bora alivyo mkaushia jamaa,nakumbuka tulikuwa tunaelekea mbagara sa kufika mtoni kwa aziz ally akapanda teja ,sa akawa ananuka kishenzi akatokea mama mmoja akasema dah kuna mtu ananuka humu anachafua hali ya hewa mama kakazana tu,yule jamaa akaona hapa ni ta shushwa hapa. ika bidii adakie kwa sauti kubwa ,e e kweli ananuka yule dada akakazana kuna mtu anachafua hali ya hewa humu, ndipo yule jamaa akamdakia... ana nuka kama mikuma **** kweli inaonekana ime chacha..basi yule mama aliinama kwa aibu na safari ikaendelea .ila nilicheka sana siku hiyo.