Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana,

Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.

Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.

Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.

Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma

Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...

Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.

Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.

Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.

Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.

Fueni boxer kaka zangu...
Bila picha Uzi huu ni batili 😊😊😊😊
 
Kutokufua boxer au chupi, kutokukausha makende baada ya kuoga, kutopaka mafuta kuzuia michubuko kwenye kende, kutosafisha kinyeo kwa maji ya kutosha, kutonyoa vuzi na kwapa, kutoosha shingo na nyuma ya masikio, kutotumia deodorant kwapani, kutotumia sabuni sahihi kuogea (kuogea sabuni za kufulia) ni sababu kuu kwa mwanaume kunuka uvundo wa jasho kali. Oga walau 2 times a day asubuhi na usiku kabla ya kulala... sugua kwapa na kende na muku kwa sabuni na maji mengi, tumia deodorant hasa nivea hutakaa unuke kihasarahasara.
Weeeeeh kumbe🤓🤓🙌🙌🙌🙌
 
Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.
Fueni boxer kaka zangu...
Ngoja tupeane uzoefu kidogo. Yawezekana ni kweli iliyokuwa inanuka ni boxer, lakini pia uwezekano mwingine mkubwa ni kwamba alikuwa ananuka uvundo wa mapajani unaosababishwa na fungus. Hizi fungus zinakula sana pembezoni mwa mapaja na hata ukioga usiku, kama unazo basi asubuhi lazima zitatoa harufu tu. Sasa ukichangia na baadhi ya watu kutokuoga au walau kujiosha hayo maeneo wanapoamka asubuhi, harufu inakuwa kali zaidi.

Kwa kweli tuwe tunajikagua kabla hatujaenda kwenye public areas. Tujiangalie usoni, nguo, harufu mdomoni na sehemu hizo za mapaja, vinginevyo tutakuwa kero kwa wengine na hata siku moja tutaumbuka, hasa tukikutana na watu wasio na uvumilivu
 
Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana,

Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.

Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.

Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.

Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma

Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...

Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.

Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.

Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.

Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.

Fueni boxer kaka zangu...
Usitupangie maisha. Huyo jamaa ni Mimi na hiyo boksa ilikuwa chini ya godoro
 
Wanawake sijui wanajionaje! Wanapenda tu kidomo domo pengine hapo ana chupi moja tu na haifuagi kamwe lakini maneno yanamtoka balaa
 
Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana,

Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.

Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.

Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.

Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma

Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...

Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.

Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.

Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.

Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.

Fueni boxer kaka zangu...
Maisha ya wengi hayafanani na yako, umewasaidia wangapi hizo boxer, acha kuyajadli maisha ya watu kama huna msaada wowote kwao.
 
Back
Top Bottom