Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
MWANAUME WALAU UNATAKIWA UBADILISHE BOXER MARA 1. KWA MWEZI
SAWA?
SAWA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaa leeee naomba unitoe humo mimi nabadili mara tatu kwa siku
😂nimekujaUnamsema mdogo wangu Mwachiluwi ngoja nimuite😬
Mimi niko smartMambo ya Mwachiluwi na Mshamba hayo 😅
Ila mimi nitoe hapo
Kuna mtu naona kafuta uzi anasema wewe hufui boxer😂nimekuja
Unavaa chupi za TMK? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Boxers ni za Watoto au Wavulana wa miaka ya 2000 kuzaliwa, Wahenga kama mimi huwezinikuta na boxer kamwe!
Ndo mnaishia kukera wengine kwa kunuka kwenu.Nifue mara kwa mara kwani na-bleed?
Hii sikuiona ila sijapenda 😂😂😂😂
Unafua kila siku boxer mwanaume kwan wew unaingia blidTutakupeleka Field kujenga Barabara huko porini,tuone kama utafua kila siku.......
""kisimu chake"" maana yake nini..?Habari wakuu,
Nimewakumbuka sana,
Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.
Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.
Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.
Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma
Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...
Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.
Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.
Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.
Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.
Fueni boxer kaka zangu...
Nunua gari lako uondokane na usumbufu.Habari wakuu,

Bukta za kisasa zipo tele ndizo Wahenga huwa tunavaaUnavaa chupi za TMK? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakuja kupasua mtu kichwa 😂😂Kuna mtu naona kafuta uzi anasema wewe hufui boxer
naelewa, wote niliowamention hapo najua mko safi,,, nlitaka muwaelimishe vijana wengine wasiofua boxer 😊🤗Aaaa leeee naomba unitoe humo mimi nabadili mara tatu kwa siku
naelewa, wote niliowamention hapo najua mko safi,,, nlitaka muwaelimishe vijana wengine wasiofua boxer 😊🤗