Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana,

Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.

Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.

Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.

Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma

Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...

Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.

Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.

Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.

Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.

Fueni boxer kaka zangu...

Sio boxer, ni hiyo ndo inanuka
 
Attachments

  • FB_IMG_1685557261187.jpg
    FB_IMG_1685557261187.jpg
    85.4 KB · Views: 7
Naona umepata Mwanaume wa level yako ila ukaamua tu kuua so hapa JF kwa kusema eti umekutana nae kwenye usafiri wa umma.

😀 😀
 
Maisha yanaenda Kasi sana 🤣🤣ngoja wa kijijini tukumbushane

Zamani tulikua tunavaa Pichu zina rangi ya bendera ya Kenya

Tukaja kuvaa bukta ambazo ni jezi eq bukta za Chelsea, zle jersey za Ghana na Cameroon.

Zikaja zle boksa zinabana kinoma 😁😁hapo afisa mdinyaji anabanwa kinyama

Ndo zikaja hz za siku hz🤣🤣
 
Harufu ya boxer uliyoinusa ilikuwa ya mkojo au nnya? Ungesema kikwapa ungeeleweka zaidi.
 
Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana,

Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.

Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.

Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.

Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma

Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...

Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.

Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.

Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.

Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.

Fueni boxer kaka zangu...
Si umwambie huyo uliekuta ana boxer chafu, usitujumuishe wanaume.
 
Tuko busy kumitafutieni Mihela,tunaupataje muda huo,muda mnao ila mnatupotezea,ila mnaitaka tu Mihela yetu🏃🏃
 
Back
Top Bottom