Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Hao wengi wao mavyuzii hawanyoi ndio shida kubwa ilipo,yawe ya kwapa au ya kwenye kinena ni shida sana.
 
Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana,

Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.

Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.

Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.

Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma

Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...

Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.

Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.

Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.

Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.

Fueni boxer kaka zangu...
Njoo huku feri au popote tunapouza samaki na hio pua yako uropoke haya kutuue.
Samaki kanunulie supamaketi 😡😡😡
 
Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana,

Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.

Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.

Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.

Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma

Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...

Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.

Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.

Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.

Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.

Fueni boxer kaka zangu...
 
Attachments

  • 1183de440afe15d9e92e13217df69bcc.gif
    1183de440afe15d9e92e13217df69bcc.gif
    963.4 KB · Views: 6
Yule kijana ni Mimi mkuu kwa kweli nisamehe ila sijapenda umekuja kuni kanyagia jf ila kesho nitavaa brand new boxer nimenunua leo maana ile inayo nuka nimeivaa kwa takribani mwaka sasa... nisamehe mkuu
 
Back
Top Bottom