Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Sio boxer, ni hiyo ndo inanuka
7FE8070E-E857-43C4-8446-5EFEB47140DE.gif
 
Maisha yanaenda Kasi sana [emoji1787][emoji1787]ngoja wa kijijini tukumbushane

Zamani tulikua tunavaa Pichu zina rangi ya bendera ya Kenya

Tukaja kuvaa bukta ambazo ni jezi eq bukta za Chelsea, zle jersey za Ghana na Cameroon.

Zikaja zle boksa zinabana kinoma [emoji16][emoji16]hapo afisa mdinyaji anabanwa kinyama

Ndo zikaja hz za siku hz[emoji1787][emoji1787]
Umesahau chupi za TMK [emoji23][emoji23]
 
Fua maana unakojoa hunawi na pia sehemu ya haja kubwa inapumua... Hivyo lazima unuke

Nikikojoa nakung'uta dudu, pia wanaume huwa hatujambi mara kwa mara....., Kwa maana hiyo hata nguo itabidi zifuliwe kila siku.

Binafsi nafua baada ya siku tatu,
Pia kaninuni yangu nyingine nafua napo hisi imechafuka...., Naona haitanifanya niwe comfortable.
 
Nikikojoa nakung'uta dudu, pia wanaume huwa hatujambi mara kwa mara....., Kwa maana hiyo hata nguo itabidi zifuliwe kila siku.

Binafsi nafua baada ya siku tatu,
Pia kaninuni yangu nyingine nafua napo hisi imechafuka...., Naona haitanifanya niwe comfortable.
Fua kila siku, kwani unayo moja...?
 
Imenusa kutokea kwenye sit yako, hadi alipokaa?

Au ulikuwa chini ya kiti? [emoji28]
Kama nilivyosema gari ilijaa mi nikapata pale kwenye kiti cha mbele wanakiita kitimoto, huyo kaka alikaa mbele yangu..
 
Wanaume hatufuagi na kuoga oga hovyo hovyo.
Huyo jamaa yupo sawa acha endelee kuupiga mwingi hivyo.
 
ukisikia harufu ya mwanaume ujue hajaoga kwanzia siku 5

sasa we mwanamke test kutokuoga siku moja ndo utajua mwenye harufu huwa ni nani Kati yetu wanaume au nyie wanawake
 
Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana,

Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.

Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.

Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.

Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma

Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...

Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.

Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.

Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.

Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.

Fueni boxer kaka zangu...
Acha uongo harufu ya boxer kama hujanusa bixer yenyewe kwa pua huwezi ijua hata ivaliwe siku 1000..
 
Back
Top Bottom