Kutokufua boxer au chupi, kutokukausha makende baada ya kuoga, kutopaka mafuta kuzuia michubuko kwenye kende, kutosafisha kinyeo kwa maji ya kutosha, kutonyoa vuzi na kwapa, kutoosha shingo na nyuma ya masikio, kutotumia deodorant kwapani, kutotumia sabuni sahihi kuogea (kuogea sabuni za kufulia) ni sababu kuu kwa mwanaume kunuka uvundo wa jasho kali. Oga walau 2 times a day asubuhi na usiku kabla ya kulala... sugua kwapa na kende na muku kwa sabuni na maji mengi, kausha uvungu wa mapaja badli boxer mara kwa mara, tumia deodorant hasa nivea hutakaa unuke kihasarahasara.