Mimi Ni Mtu Wa Mungu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 679
- 1,295
Hamna kitu kinaninyima raha kama kufua boxer na soksi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nishaenda hizo field mkuu barabara ya songea ama barabara ipi unaongelea.Tutakupeleka Field kujenga Barabara huko porini,tuone kama utafua kila siku.......
Habari wakuu,
Nimewakumbuka sana,
Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.
Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.
Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.
Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma
Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...
Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.
Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.
Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.
Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.
Fueni boxer kaka zangu...
Achana nae huyo! Yaan mi kukaa na boksa wiki mbili imekua kero?wamekusikia watalifanyia kazi
Mpenzi kwani yangu huwa inanuka?
Boxers ni za Watoto au Wavulana wa miaka ya 2000 kuzaliwa, Wahenga kama mimi huwezinikuta na boxer kamwe!unafua boxer lakini mkuu,,, au unafua ila hazikauki vizuri [emoji4][emoji23][emoji23][emoji119]
Msamehe bure, kosa sio lake. Ni chama cha mapinduzi 🤷♂️Mkuu, alivaa kaptula tena ya jezi nyeusi
Basi utakuwa ulibeba dozens kumiMbona nishaenda hizo field mkuu barabara ya songea ama barabara ipi unaongelea.
au hazikauki vizuri ukifua😃😂😂😂Achana nae huyo! Yaan mi kukaa na boksa wiki mbili imekua kero?
Hapana mpwa, mleta Uzi atakuwa alikuwa anamchungulia huyo jamaa wa boxeryani nkajiskia tu anko nikuite unieleweshe hua mnavaaga suruali zimetoboka Kwani 🤔😂😂😂🙌
Wewe ulijuaje kwamba ni box? Uliiona?Habari wakuu,
Nimewakumbuka sana,
Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.
Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.
Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.
Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma
Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...
Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.
Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.
Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.
Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.
Fueni boxer kaka zangu...
Unamsema mdogo wangu Mwachiluwi ngoja nimuite😬Mambo ya Mwachiluwi na Mshamba hayo 😅
hapana,, nilikuita ili uje uniambie inafananaje hiyo harufu ya boxer chafu mana sijawahi isikia😉😂Mpenzi kwani yangu huwa inanuka?