Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Boxa zenyewe unakuta kijana anazo mbili, hata akijitahidi kufua vipi bado kuna wakati tu atarudia boxa moja siku kadhaa mana vijana wa kiume hatunaga desturi ya kufua kila siku. Ukijumlisha na kutembea sana kwa mguu(jasho kwa wingi), unakuta hata sio kosa lake
 
Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana,

Kwakweli kama kuna kero ambayo ipo kwenye usafiri wa umma basi ni harufu mbaya ya uvundo wa boxer.

Kwakweli safari yangu ya kutoka sehemu A kwenda sehemu B ilikuwa ndefu sana.

Hii hali ni ya mara kwa mara ambayo nimekuwa nikikutana nayo hasa kipindi Cha mvua ukipanda daladala utakutana na uvundo wa boxer zinanuka hatari.

Kilichofanya niandike Uzi huu ni kwakuwa siku zilizopita nilipanda usafiri wa umma

Sababu ya safari hii kuwa ndefu ni kwakuwa nilikaa na kijana mmoja kwenye daladala alafu ametanua miguu yake...

Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.

Harufu yake ikawa inasambaa kwenye gari yaani alafu gari imejaa sana.

Yaani nilitamani kupaa ila ndio hivyo tena mi sio ndege sina mabawa nikafa kiutu uzima.

Cha ajabu kaka yule alikuwa anajiona kawaida mwenyewe anachezea kisimu chake Wala hajui kuwa yeye ni kero.

Fueni boxer kaka zangu...
Donatila,Ningekujibu ila kwa sababu zilizo nje ya mahusuano yenu na Yule ,kwaheri
 
Kwa wale ambao wameoa wake zao wajitambue wawe wanawafulia waume zao.

Lakini usikubali kufuliwa na mchepuko wengi wana hila Na ushirikina atakutesa.

Utataka kujitoa lakini utakuwa Mtumwa wake na nduguze na wanae.
 
Tatizo linaanzia kwenye malezi.

Wazazi/walezi wengi wanakosea kwenye malezi .

Mlee Mtoto wako anapoenda kuoga jioni/usiku awe anafua chupi yake kila siku.
 
Back
Top Bottom