Hivi sheria za basketball hazikatazi midevu Osama? Huyu jamaa huwa ananiudhi sana midevu gani hii mwana sports ndio maana hucheza kisleki sana japo ni mkali ..
Sana tu friend!Ndevu ndizo zinazo kufikisha kileleni!?!?
2009 DRAFT NIGHT...
Hicho kikabila chako sijakielewangoja niotee! mandingo ndingo
Hivi sheria za basketball hazikatazi midevu Osama? Huyu jamaa huwa ananiudhi sana midevu gani hii mwana sports ndio maana hucheza kisleki sana japo ni mkali ..
Kuna jamaa alikuwa hivi kwenye gari likapata ajari kidogo avunjwe shingo watu walidhania kichwa kiligeuka chini juu juu chini
[emoji23][emoji23][emoji23]
Matola mm ninazo kama hizo njoo nikupapase nazo...Hii inawahusu kina Faiza Foxy wawapendezeshe waume zao namna hii, midevu imekubali shampoo na wese la ukweli.
Kudadeki unasema kweli????Hata mwanaume anyoe vp bt km hana pesa wanawake mnakula winga ka Cristiano Ronaldo
Hahhhhhahah wengine tunataka kuwa kama jah people mkuu!!Sawa...
Ila wakati tukirembesha ndevu na ninyi rembesheni za huko chini kama wanavyofanya japanese, chinese na koreans.
Sio mnafugia mabutu tu.
Itapendeza wallahi
NaloliKudadeki unasema kweli????
Mweeeeehhh....Naloli
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Sawa...
Ila wakati tukirembesha ndevu na ninyi rembesheni za huko chini kama wanavyofanya japanese, chinese na koreans.
Sio mnafugia mabutu tu.
Itapendeza wallahi
dahh napenda kweli mkaka awe hivi! mrefu mweusi km ivo duuuh