Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,658
Hivi sheria za basketball hazikatazi midevu Osama? Huyu jamaa huwa ananiudhi sana midevu gani hii mwana sports ndio maana hucheza kisleki sana japo ni mkali ..
Kuna jamaa alikuwa hivi kwenye gari likapata ajari kidogo avunjwe shingo watu walidhania kichwa kiligeuka chini juu juu chini