Wakaka, rembesheni ndevu zenu

Wakaka, rembesheni ndevu zenu

ely_2293.jpg
Hivi sheria za basketball hazikatazi midevu Osama? Huyu jamaa huwa ananiudhi sana midevu gani hii mwana sports ndio maana hucheza kisleki sana japo ni mkali ..

Kuna jamaa alikuwa hivi kwenye gari likapata ajari kidogo avunjwe shingo watu walidhania kichwa kiligeuka chini juu juu chini
 
  • Thanks
Reactions: BAK
LOL! hahahahahahah eti karibu wamvunje shingo lol! Hazikatazwi Mkuu na wacheza wengi wa NBA Weusi na Wazungu wameanza kuacha hii kitu ingawaje baadhi huzipunguza kila mara si kama za huyu Hardem.

Hivi sheria za basketball hazikatazi midevu Osama? Huyu jamaa huwa ananiudhi sana midevu gani hii mwana sports ndio maana hucheza kisleki sana japo ni mkali ..

Kuna jamaa alikuwa hivi kwenye gari likapata ajari kidogo avunjwe shingo watu walidhania kichwa kiligeuka chini juu juu chini
 
Mbona brush ya chachandu ya mihogo sijaiona? ndio style yangu!
 
Lol[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Sawa...

Ila wakati tukirembesha ndevu na ninyi rembesheni za huko chini kama wanavyofanya japanese, chinese na koreans.

Sio mnafugia mabutu tu.

Itapendeza wallahi
Hahhhhhahah wengine tunataka kuwa kama jah people mkuu!!
 
Sawa...

Ila wakati tukirembesha ndevu na ninyi rembesheni za huko chini kama wanavyofanya japanese, chinese na koreans.

Sio mnafugia mabutu tu.

Itapendeza wallahi
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom