Wakaka wavivu wa kuoga jua kali, muoge mtanuka

Tungeweza kupaka perfume mchanganyiko kama nyie na tukanukia harufu ya kiarabu ambayo wewe ungependa.

Ila kwasababu wengine tulikataa tangu mwanzo kupewa sifa ambazo hazituhusu ndio maana leo unapata fursa ya kuyasema haya.
 
o level niliyosoma kuna jamaa alikua msafi kweli kweli, anaoga asubuhi na jioni, siku zingine hadi na mchana..... siku moja nikamkuta ananyonya ndonga ya mwanaume mwenzake

haya, hadithi yetu inatufundisha nini?
[emoji23] inatufundsha ya kwamba mwanaume kuoga oga kila muda huo ni umama unapoelekea kuwa choko,popoma
 
Mkuu umesema jambo la muhimu sana, jana nililazimika kuhama siti kwenye bus nikaenda kukaa juu ya mfuniko wa injini baada ya jirani yangu kunuka aina mpya ya kikwapa sijui ilikuwa ni mchanganyiko wa jasho na kitu gani sikuelewa
 
Ujumbe mzuri, ila ubaya ni kwamba reference umeifanya toka kwa mtu mmoja. Mtu ambae huwa unamuona kila asubuhi anawahi kuvaa kabla hajapiga mswaki.

Usisahau kumwambia shemeji, aache hiyo tabia.
Wewe mbona nakujua mwanaume, naongea na wakaka...
Shemeji huyu huyu ninyemuogesha mwenyewe...

[emoji1787][emoji1787]

Haiwezekani...

Nakata rufaa..
 
Halafu kingine inawezekana swala la kunuka likawa ni matatizo yako tu binafsi na pua zako.

Michael Jackson mwaka 1972 alipotua na ndege Bongo alishika pua akisema kuna harufu mbaya.

Yes Bongo hii hii ambayo wewe unapata fresh air lakini kwa Michael Jackson ilikuwa ni tofauti.

Sasa sisi kama nchi unafikiri tulihitaji kui-spray perfume nchi ili kumfurahisha Michael Jackson aseme inanukia vizuri?

Je ni kweli kuwa Tanzania inanuka au tuende mbali kuanza ku-question uwezo wa pua ya MJ kwenye kunusa?

Kwanini tusifikirie hivyo hivyo kwenye hii case yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…