Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari tajwa...
Kama ilivyo hali ya jua sasa ni likali sana, sio kwa wakazi wa Dar tu na maeneo mbalimbali...
Sasa nasema hivi unaanzaje kuacha kuoga na jua kama hili..
Naongea na nyie wakaka ambao hamtaki kuoga mnanawa nawa tu...
Mnajijua nyinyi ambao mnavaa nguo kwanza ndo mpige mswaki...
Ndio nyie ambao mnavaa nguo hasa suruali mnarudia wakati hamuogi...
Mnabisha nini wakati hamuogi mnanuka kwapa kama Nini...
Nasemaje muoge jua limekuwa kali sana, Tena muoge mtakate sio kujimwagia maji..
Mara sisi wakaka hatunuki, acheni kujipa sifa za kijinga joto ni Kali..
Kila sehemu zilizojificha zinamwaga maji, kama kwapa na kule...
Nimesema muoge mtakate sio kupiga paspoti..
Tunakumbushana tu...