TANZIA Wakala wa CHAUMMA visiwani Pemba auawa

Hili si la kuunga mkono hata kidogo, halifai na linatakuwa kulaaniwa na kila mtu
 
Viongoz wa CHAUMMA Tupo mazikoni kwa wakala wetu aliyepigwa risasi Jana Usiku majira ya saa 6 usiku katika kituo cha kupiga kura skuli ya vitongoji Jimbo la wawi...
Poleni sana, haki itatendeka tu mwishoni na wote wanaohusika watalipa maovu yao kwa kusaga meno.
 
Kura alizopata Hussein Mwinyi leo zimesha tosha kumtangaza kama mshindi.
Ni jambo la kusikitisha sana. Kuna ulazima gani wa kufanya igizo la uchaguzi, kupoteza muda, fedha na mali, na kuua watu kila baada ya miaka minne wakati wanajua kabisa wana uwezo kuendelea kutawala bila ridhaa ya wananchi?

Mwinyi anayejifanya ni mcha Mungu atathubutu kujipongeza kuwa ameshinda na kuingia kwenye kiti cha urais kwa kutumia damu ya watu wasiyo na hatia?
 
Dola haigawanywi kwa hesabu zetu hizi. Madaraka hayana mambo ya logic. Ndio maana Daud aliyekuwa mchunga ng'ombe alipewa madaraka badala ya ndugu zake waliokuwa watanashati

Nimeipenda hii. Hata hivyo, you are speaking in parables..

Hebu fafanua kidogo. Funguka kwa mapana..
 
Poleni sana.
Wakifanyiwa CHADEMA /Lissu mnakaa kimya, hayatuhusu. Lisu alisema hakuna aliye salama! Badala ya kuungna na CDM na ACT tukamngoa nduli mnashirikian na CCM kugawana kura. Kuna la kujifunza hapa!
Poleni tena.
Chaumma wametangaza kumuunga mkono Maalim Seif
 
Nimeipenda hii. Hata hivyo, you are speaking in parables..

Hebu fafanua kidogo. Funguka kwa mapana..

Mimi toka kijana wa shule ya msingi mpaka leo naanza kuzeeka mtu huyo huyo kila uchaguzi? Wenzake wamepumzika yeye yumo tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Poleni sana. Kwa kweli inabidi zitumike njia za kigaidi sasa. Ukisusa uchaguzi, Shibuda anashiriki. Ukishiriki, jeshi linaleta masanduku ya kura yenye kura tayari kwa mgombea wa CCM. Njia za kigaidi zitumike sasa. Tuanze kuviziana.
 
Mshindi haramu hatakuja kuwa Rais huyo watamfanya vibaya tu, labda awe Rais huku akiishi Dar. Ngoja tuone. Yeye na yule anayejiita MWENDAWAZIMU wote ni illegitimate governments.
Kura alizopata Hussein Mwinyi leo zimesha tosha kumtangaza kama mshindi.
 
inaelekea leo ma-CCM ndiyo yamekwiba kula za kutoshaโ€ฆ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ