Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Apo umeimba wewe au ndo waimbaji wenyeweHeshima kwenu wakuu...?
Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu.
Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu.
Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa kwenu wakuu.
Thanks a lot...!
Apo umeimba wewe au ndo waimbaji wenyewe
Unapenda nyimbo za kulialia
iko njemaHapana kiongozi mi naskiliza muziki wowote ambao ni mzuri mkuu.
Ngoja nikupe hii ngoma nawe uiskilize then uone kama ni ya kulia lia au laa...!
Heshima nyingi sana kwako mkuu wangu. Wewe ndio MAKALI WA MUSIC kwenye UZI HUU BelindaJacob.
Thank you so much loveliest one.
π
Karibu Kiongozi!
I am versatile when it comes to music. Hii Sondela naifahamu vizuri.
Furahia hiyo song.
Nadhani ni ngoma ya mafikizolo ile wanasemaga i will meet you at the River walimuimbia mwenzao alivyovutaga...NIMEKUEKEA link hapo ujaribu kama ni hyoHeshima kwenu wakuu...?