Hapana shida kwenye suala la mavazi unaweza kuvaa vyovyote tu unavyopenda sehemu yoyote,
Kuhusu makalio makubwa kule ni deal sana, yani wadada wenye makalio makubwa ni rahisi sana kula maisha, utashangalaliwa ila sio wote wenye uthububtu wa kuweza kukutania.
Ila ningekushauri ni bora usubiri mfungo uishe ndio uende, kipindi cha mfungo harakati nyingi za ki entertainment huwa zinafungwa including restaurants, night clubs hata kwenye fukwe amsha amsha inakuwa ni ndogo sana. nahisi zimebaki kama wiki mbili tu kumalizika. Ila pia kipindi cha Eid kunakuwa kupo very crowded viwanja vyote vinajaa hata hayo maeneo ya forodhani yanakuwa na nyomi kubwa, kama si mtu wa shangwe pia unaweza kuacha wiki ya Eid ipite mana kule sherehe hua nearly week nzima, ila kama mtu wa shangwe hakuna shida.
Waoooo!!!!
I like it!!! 🥰🥰🥰
Mie nataka nikakae kama wiki mbili hvi
Nilitamani nimpate mwenyeji wa kunielekeza hapa wapi na hapa wapi, nightclubs, bar, lodge, sehemu za kuzugia etc....hata za kujimwaga naked poa tu 🤭
Mie ni mtu wa shangwe ila sio kwa Eid, labda nisubiri mfungo uishe, na sita zake.
Nataka niende kuupoza moyo.
Napenda kuruka majoka mpaka asubuhi.
Basi nitaandaa nguo za mchana na usiku. Nitaongeza baibui, Abaya na madera.
Za usiku ninazo nyingi tu.
Niliwahi kwenda Mwanza, nimerudi zangu Club, nikasahu lodge niliyofikia.
Ikabidi nirudi Club mpaka asubuhi ndio nikaelekezwa.
Huu ujinga sitaki unikute tena nikienda Zanzibar.
Kumbe Zanzibar nako kuna vibe...🤩🤩🤩
Na lodge au hotel kule ni pesa ngap Kwa uzoefu wako boss?