Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Katika watu ambao nilikua nachukia nikisikia MUUNGANO uvunjwe ni Mimi lakini kwa haya wanayoyafanya WANZAZIBAR kwa Sasa sitaki kusikia MUUNGANO Tena Bora kila mtu awe kivyake wapemba warudi kwao
Mbona tunapigania zamani uvamizi uliopewa jina la muungano UFILIE MBALINI nyinyi mlikuwa wakali sana humu na jeuri nyingi , sasa kwa kuwa mnatawaliwa na mwanamke tena kutoka Zanzibar mnakuwa wakali sana.